Wakufunzi zaidi ya 400 wameshtaki vyuo vikuu viwili kwa nyongeza ya mishahara

Na RICHARD MUNGUTI WAKUFUNZI zaidi ya 400 wameshtaki vyuo vikuu viwili vya umma wakiomba nyongeza ya mishahara ya zaidi ya...

Kilio serikali za kaunti zikikosa kulipa mishahara

Na WAANDISHI WETU WAFANYAKAZI katika baadhi ya serikali za kaunti wanateseka baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa. Wengi...

LEONARD ONYANGO: BBI ikipita mshahara wa wabunge ukatwe

  Na LEONARD ONYANGO WATAALAMU wa masuala ya uchumi wanatabiri kuwa Wakenya watalazimika kutumia kati ya Sh60 milioni na Sh300...

Walimu sasa walia, wataka nyongeza mpya ya mshahara

Na ERIC MATARA CHAMA cha walimU (Knut), kinataka Tume ya Huduma ya Walimu (TSC), kuharakisha mazungumzo kuhusu makubaliano ya pamoja...

CHARLES WASONGA: Serikali ikome kuhujumu vyama vya kutetea wafanyakazi

Na CHARLES WASONGA NI haki ya wafanyakazi kote ulimwenguni kujiunga na vyama vya kutetea masilahi yao kama vile nyongeza ya mishahara na...

Polisi wengi wagura kazi, walia wanalipwa mshahara wa kitoto

Na Steve Njuguna POLISI wengi wa akiba (NPRs) Kaunti ya Laikipia, wameacha kazi hiyo wakilalamika kwamba wanalipwa mshahara wa chini na...

Aibu kwa madiwani wa Nakuru kumeza mishahara ya bwerere kwa miezi sita

Na FRANCIS MUREITHI MISWADA minne muhimu kutoka kwa madiwani wa wadi mbalimbali katika Kaunti ya Nakuru haijawahi kushughulikiwa na...

Gavana Roba na naibu wake watangaza kukatwa asilimia 30 ya mshahara

MANASE OTSIALO NA FAUSTINE NGILA GAVANA wa Mandera Bw Ali Roba na naibu wake Bw Mohamed Arai wametangaza kuwa watakatwa mshahara kwa...

Hofu ya walimu kuhusu mishahara yao na wanafunzi Covid-19 ikizidi kuhangaisha dunia

Na GEOFFREY ANENE HUKU wazazi wakijipata wamegeuka kuwa walimu baada ya shule kufungwa kwa ghafla kutokana na janga la virusi vya corona...

Wafanyakazi wachafua jiji wakidai malipo ya miezi 3

SAMMY KIMATU na CECIL ODONGO WAKAZI katika Kaunti ya Nairobi walipigwa na butwaa kufika katikati mwa jiji na kukuta jiji limegeuzwa kuwa...

Hatimaye vibarua Pumwani kulipwa mshahara wa miezi 4

Na Collins Omullo NI afueni kwa vibarua wanaohudumu katika hospitali ya kujifungulia kinamama ya Pumwani, baada ya Kaunti ya Nairobi...

Vilio katika kaunti baada ya mishahara kucheleweshwa

Na WAANDISHI WETU WAFANYAKAZI wa kaunti kadhaa wanateseka kwa kukosa mishahara tangu Desemba, huku wananchi wakikosa huduma muhimu...