Mishi Mboko ajiondoa katika kinyang’anyiro cha ugavana

Na WINNIE ATIENO MBUNGE wa Likoni Bi Mishi Mboko amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha ugavana wa Mombasa. Bi Mboko ambaye alikuwa...

Mishi Mboko amshauri Shahbal awe mtiifu kwa ODM

Na BRIAN OCHARO MBUNGE wa Likoni, Bi Mishi Mboko amemshauri mfanyabiashara wa Mombasa, Bw Suleiman Shahbal awe tayari kutii itikadi za...

Mishi Mboko ataka wanasiasa waonyeshe ukomavu hata wanapotofautiana

Na MISHI GONGO MBUNGE wa Likoni Bi Mishi Mboko amewataka wanasiasa wakome kutaja baadhi ya sehemu za mwili, hasa wa mwanamke,...

Mishi Mboko ashukuru kuchaguliwa mwanachama wa tume ya huduma za bunge

Na MISHI GONGO MBUNGE wa Likoni Mishi Mboko ameushukuru muungano wa Nasa na hasa chama cha ODM kwa kumpa fura ya kuwa mwakilishi wake...

JAMVI: ‘Masimbajike’ wa Pwani walivyogeuka mahasimu wa kisiasa

Na SAMUEL BAYA SIASA ziliwaleta pamoja na inaonekana siasa hiyo hiyo sasa inawatenganisha. Hiyo ndiyo taswira kamili katika mienendo ya...

Raila sio rika lako, Mishi Mboko amwambia Murkomen

MOHAMED AHMED na CHARLES WANYORO BAADHI ya viongozi wanaounga muafaka kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga,...

Mishi Mboko kujengea wasichana shule

NA HAMISI NGOWA MBUNGE wa Likoni, Bi Mishi Mboko amewahimiza wazazi katika eneobunge hilo waache mila zinazowanyima nafasi ya elimu...

Wakazi wa Likoni wapewe ajira Dongo Kundu – Mishi Mboko

Na SAMUEL BAYA MBUNGE wa Likoni, Bi Mishi Mboko Jumanne alisema wakazi wa Mtongwe, Mwangala na Mbuta wanafaa kuajiriwa katika mradi wa...

Rufaa dhidi ya Mishi Mboko yafutwa

Na PHILIP MUYANGA ALIYEKUWA mbuge wa Likoni, Bw Masoud Mwahima ameondoa notisi ya rufaa aliyokuwa ameweka kwa madhumuni ya kupinga...