Anatumia mitandao ya kijamii kuhamasisha umma kuhusu Ukimwi

Na JOHN KIMWERE NI mwalimu wa dini katika Kanisa la Bethlehem Judah Restoration, linalopatikana Bombolulu Kisimani steji, Mombasa,...

Makanisa yapeperushe ibada mitandaoni lakini yazingatie sheria – Mahakama

Na Richard Munguti Mahakama kuu imeruhusu makanisa kutangaza ibada zao kupitia televisheni, redio au mitandao mingine bila kuvunja...

WANGARI: Sera zibuniwe kuadhibu wanaotumia mitandao vibaya

Na MARY WANGARI MAJUZI, aliyekuwa rais wa Amerika Barack Obama alikashifu kizazi cha leo kinachotumia vibaya mitandao ya kijamii...

WANGARI: Sheria za mitandaoni ziwepo kudhibiti nyimbo kama ‘Wamlambez’

Na MARY WANGARI MWENYEKITI wa Bodi ya Filamu Nchini (KFCB) Dkt Ezekiel Mutua majuzi aliibua hisia mbalimbali kufuatia pendekezo lake la...

Polisi wafurika mitandaoni kuelezea masaibu yao

Na VALENTINE OBARA MAAFISA wa polisi wamegeukia mitandao ya kijamii kulalamikia mazingira hatari ya kazi huku wakiwasuta wakubwa wao...

Akaunti za Twitter na Facebook za Uhuru zazimwa

Na PETER MBURU AKAUNTI za mitandao ya kijamii za Rais Uhuru Kenyatta Ijumaa asubuhi zilizimwa, baada ya kudaiwa kuingiliwa na watu fulani...

Mitandao ya kijamii hatarini kufungwa Uingereza

MASHIRIKA Na PETER MBURU SERIKALI ya Uingereza imetishia kupiga marufuku kampuni za mitandao ya kijamii, ikiwa hazitatoa jumbe ambazo...

SHAMBULIO: Mitandao ya kijamii ilivyotumika kupasha ulimwengu habari

Na PETER MBURU INTANETI Jumanne ilitumiwa pakubwa kufahamishana kuhusu uvamizi katika hoteli ya Dusit huku baadhi ya waliokuwa kwenye...

TEKNOLOJIA: Mitandao ya kijamii inavyotumika kudunisha demokrasia duniani

NA FAUSTINE NGILA DUNIANI KOTE, mitandao ya kijamii imewapa watu sauti katika maamuzi ya kisiasa na kuwasukuma maafisa wa serikali...

Gavana Nanok kuwaadhibu wafanyakazi wazembe wanaokwama mitandaoni

Na SAMMY LUTTA GAVANA wa Turkana, Josphat Nanok, ametishia kuwaadhibu wafanyakazi wa kaunti wanaopoteza wakati katika mitandao ya...

2019: Ukosefu wa usiri wa data mitandaoni utazidi kuwaumiza Wakenya mwaka huu

Na FAUSTINE NGILA TEKNOLOJIA ya dijitali mwaka uliopita ilituwezesha kupata taarifa tunazotaka mitandaoni kwa urahisi zaidi ila bila...

Wawaniaji urais Brazil wamenyana mitandaoni

MASHIRIKA Na CECIL ODONGO BRASILIA, BRAZIL  WAWANIAJI wa Urais wanatumia mitandao ya kijamii kusaka kura ya zaidi ya wapiga kura...