Knec kuanza kusahihisha KCSE wiki hii

Na VICTOR RABALLA SHUGHULI ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) wa mwaka huu itaanza wiki hii huku serikali ikianzisha mpango...

MARY WANGARI: Udangayifu katika mitihani ni tishio kwa jamii nzima

NA MARY WANGARI MITIHANI ya kitaifa imekuwa ikiendelea nchini huku ikiandamwa na sarakasi za kila aina ikiwemo madai ya...

KCSE: Afisa abambwa na Magoha akisaidia watahiniwa kwa udaganyifu

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha kwa mara nyingine ametoa onyo kali kwa watahiniwa wa mtihani wa kitaifa kidato cha...

KCSE: Magoha aamrisha polisi wapokonywe simu wasifanikishe udanganyifu wa mitihani

NA MWANGI MUIRURI WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha Jumatatu ametoa amri kuwa maafisa wa polisi wanaolinda harakati za mtihani wa KCSE...

Mitihani ya kitaifa ya Gredi 4 yaanza Jumatatu

FAITH NYAMAI na DERICK LUVEGA MITIHANI ya kutathmini wanafunzi wa Gredi ya Nne inaanza Jumatatu Machi 8. Mitihani hiyo itakuwa sehemu ya...

Wanafunzi wafeli majaribio ya KCPE kwa wingi

Na DAVID MUCHUNGUH WANAFUNZI wengi walianguka mtihani wa majaribio wa Darasa la Nne waliofanya mwaka jana na kuibua wasiwasi kuhusu...

WANTO WARUI: Huenda wanafunzi wengi wakakosa mitihani ya KNEC

Na WANTO WARUI Baraza la mitihani nchini (KNEC) linapanga kuwapa wanafunzi wa Gredi ya 1-3 na madarasa ya 5-7 majaribio ya kutathmini...

Umuhimu wa mazingira mazuri kwa watahiniwa

Na SAMMY WAWERU MAANDALIZI ya mitihani ya kitaifa ya elimu ya msingi KCPE na sekondari KCSE yanaendelea kote nchini. Jumatatu, Waziri...

TAHARIRI: Mawaziri wamulike zaidi maafisa wa KNEC

NA MHARIRI KWA mara nyingine, ushirikiano wa karibu uliopo kati ya Wizara za Elimu na Usalama wa Ndani na Baraza la Mitihani ya Kitaifa...

TAHARIRI: Wadau washirikiane kufanikisha mitihani

NA MHARIRI KAULI ya Wizara ya Elimu kwamba wazazi ndio watakaowajibika ikiwa wanao watapatikana wakijihusisha na udanganyifu wa mitihani...

PEPO WA MIGOMO: Shule 30 zafungwa, wanafunzi wachoma mali ya mamilioni

Na WAANDISHI WETU PEPO ya migomo imeitembelea tena Kenya huku Waziri wa Elimu Amina Mohamed akitaja hofu ya mitihani kama kiini kikuu...

FUNGUKA: Sihitaji urembo kunyaka wahadhiri chuoni na kuwalambisha asali nipite mitihani

Na Pauline Ongaji Ni ndoto ya kila mwanafunzi wa chuo kikuu kufanya vyema katika mtihani wake na hata kuhitimu. Na ni ndoto ambayo...