Kaunti yawatengea wavuvi mamilioni

Na WAANDISHI WETU WAVUVI katika Kaunti ya Mombasa wanatarajia kuvuna pakubwa kwani serikali ya kaunti imetenga Sh250 milioni kuboresha...

KURUNZI YA PWANI: Elungata aelezea Wapwani haja ya kushirikiana na maafisa maeneo mpakani yasalie salama

Na WINNIE ATIENO MSHIRIKISHI wa eneo la Pwani Bw John Elungata na afisa wa uhamiaji Bi Jane Nyandoro wamewaonya wakazi wanaoishi...

Nairobi yaongoza maambukizi, Mombasa kwa vifo

Na JUMA NAMLOLA KAUNTI ya Nairobi inaongoza kwa idadi ya maambukizi ya virusi vya corona huku Mombasa ikiongoza kwa watu walioaga dunia...

MJI WA KALE: Serikali yaruhusu shughuli za wafanyabiashara katika bandari ya zamani

Na WINNIE ATIENO AFUENI kwa wafanyabiashara wanaotegemea bandari ya zamani maarufu Old Port iliyoko Mji wa Kale - Old Town - baada ya...

Uchuuzi marufuku katika mitaa iliyofungwa

VALENTINE OBARA na WACHIRA MWANGI SERIKALI imezidisha masharti kwa wakazi wa mitaa ya Old Town mjini Mombasa, na Eastleigh katika Kaunti...

Matiang’i azuru Eastleigh kuwatuliza wakazi

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imekanusha madai kuwa amri kufungwa kwa mtaa wa Eastleigh ilitolewa kwa nia ya kuwaadhibu...

Baadhi ya wakazi washutumu hatua ya serikali kuufunga Mji wa Kale

Na MISHI GONGO WAKAZI mjini Mombasa wameshutumu serikali kwa kufunga Mji wa Kale, wakiitaja hatua hiyo kuwa kandamizi na kwamba...

Gavana wa Mombasa atishia kuweka ‘lockdown’ Mji wa Kale

MISHI GONGO na WINNIE ATIENO HUKU maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 yakiendelea kuongezeka katika Mji wa Kale, Kaunti ya Mombasa, gavana...