Familia ya mwanamume aliyepata ulemavu mikononi mwa wanaosemekana kuwa ni maafisa wa polisi yadai haki

Na MISHI GONGO FAMILIA moja mjini Mombasa inadai haki baada ya jamaa wao Bw Joseph Macharia kupata ulemavu kupitia kipigo alichopata...

MKASA: Stovu yasababishia familia majeraha

Na GEOFFREY ANENE MAMA mmoja kutoka mtaani Kariobangi South Civil Servants anataka kampuni ya kuunda majiko ya KOKO Networks iondoe...

Mafundi wawili wafariki baada ya kufunikwa na mchanga Tudor

Na MISHI GONGO WANAUME wawili wamefariki mjini Mombasa jana Jumanne baada ya kufunikwa na mchanga walipokuwa wakitekeleza shughuli ya...

Gari lingine latumbukia baharini, uokoaji waendelea

NA AHMED MOHAMED GARI moja ndogo limetumbukia baharini katika kivuko cha Likoni Jumamosi alfajiri miezi miwili baada ya gari lingine...

37 wazikwa hai

Na OSCAR KAKAI na BENSON MATHEKA Novemba 22 2019: Watu watatu wasombwa na maji katika visa viwili tofauti Mbooni, Makuen Oktoba 30...

Mapuuza yazua mauti shuleni

Na VALENTINE OBARA SHULE ya Msingi ya Precious Talents iliyo katika Wadi ya Ngando, eneobunge la Dagoretti Kusini ilikuwa sawa na mtego...

Yabainika ujenzi wa jengo lilioua wanafunzi 7 ulikuwa duni

NA PETER MBURU SHULE ya msingi ya Precious Talent Academy ambapo wanafunzi saba walifariki Jumatatu asubuhi baada ya sehemu ya jengo...

MKASA WA GIKOMBA: Moto uliwashwa makusudi, wadai wafanyabiashara

Na WANDERI KAMAU MIVUTANO kuhusu ardhi na ushindani wa kibiashara ndizo sababu kuu zinazodaiwa kupelekea vifo vya watu 15  kwenye moto...

Rais awavulia kofia wenyeji eneo la Solai

Na VALENTINE OBARA WAKAZI wa Solai, Kaunti ya Nakuru wamesifiwa kuwa mashujaa kwa ujasiri walioonyesha walipookoa wenzao wakati bwawa...

Baada ya mkasa wa Solai, maelfu sasa wanaishi kwa hofu

NA PETER MBURU Mkasa wa bwawa la Solai ambao uliwaua zaidi ya watu 40 sasa umeamsha hofu ya miaka mingi baina ya maelfu ya wakazi wa...

SOLAI: Serikali yaondoa maji katika mabwawa mengine mawili

Na ERIC MATARA WAHANDISI wa serikali Ijumaa waliondoa maji yaliyokuwa katika mabwawa mengine mawili yaliyo karibu na bwawa la Patel,...

DPP amtaka Boinnet ampe ripoti ya uchunguzi wa mkasa wa Solai kwa siku 14

Na ERIC MATARA Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Ijumaa alitaka uchunguzi ufanywe kubaini kiini cha mkasa wa bwawa la Patel eneo la...