Mipasuko UDA na Jubilee yaibua vyama vipya Mlimani

Na GITONGA MARETE KUPOROMOKA kwa chama cha Jubilee na mng’ang’anio wa tiketi katika chama kipya cha United Democratic Alliance (UDA)...

Ruto adai kumiliki kura za eneo la Mlima Kenya

Na STEVE NJUGUNA NAIBU Rais William Ruto amepuuzilia mbali juhudi za kiongozi wa ODM Raila Odinga kupenya Mlima Kenya. Dkt Ruto...

Mlima Kenya ‘kuwatahini’ wawaniaji wa urais 2022

Na MACHARIA MWANGI VIONGOZI wa Mlima Kenya wataandaa orodha ya maswali watakayotumia kuwapiga msasa wawaniaji wa urais kabla ya...

Ruto abuni mkakati wa kuangusha Raila Mlima Kenya

Na JAMES MURIMI WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Mlima Kenya, wameamua kuingia vijijini kumpigia debe ili kuimarisha...

Raila anyenyekea wazito Mlima Kenya

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ODM, Raila Odinga, sasa ameanza kuwinda mabwanyenye wenye ushawishi Mlima Kenya katika juhudi zake za...

CECIL ODONGO: Azma ya Wanjigi ni mbinu ya ODM kupenya Mlima Kenya

Na CECIL ODONGO TANGAZO la mfanyabiashara tajiri Jimmy Wanjigi kuwa analenga kupigania tiketi ya ODM ili kuwania kiti cha Urais 2022, ni...

Rais Uhuru abadilisha mbinu kuendelea kung’ata Mlimani

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta amebuni mbinu mpya kuimarisha usemi wake katika ukanda wa Mlima Kenya, anapojiandaa kung’atuka...

Viongozi wa kutoka Mlima Kenya wakutana Thika kuweka mikakati

Na LAWRENCE ONGARO VYAMA sita vya kisiasa vya viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya vilifanya kongamano mjini Thika, kwa minajili ya...

Raila asema amepata mbinu kuteka Mlima

GEORGE ODIWOUR na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha ODM, Raila Odinga, ameambia wafuasi wake wa Nyanza kwamba, hatimaye amegundua...

Kaunti 10 za Mt Kenya kuondoa ada za biashara

Na JAMES MURIMI MUUNGANO wa Kiuchumi wa Kaunti za Eneo la Kati (CEREB) umeanza kubuni mkakati utakaounganisha ada zinazotozwa mipakani,...

Mbinu za kuzima Ruto Mlimani zaanza kusukwa

Na BENSON MATHEKA WASHIRIKA wa Rais Uhuru Kenyatta kutoka eneo la Mlima Kenya wameanza kusuka mikakati ya kupunguza umaarufu wa Naibu...

Vigogo wawania Mlima Kenya kama mpira wa kona

Na NICHOLAS KOMU KAMPENI za kusaka kura za Mlima Kenya zimechacha, wawaniaji mbalimbali wakitumia mgawanyiko uliopo kujinadi kwa raia,...