Mhudumu wa zamani akamatwa kwa ‘kusumbua’ maiti mochari

Na Evans Kipkura MAAFISA wa usalama katika Hospitali ya Rufaa ya Iten, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, Jumatano walimkamata mhudumu wa zamani...

Asimulia sasabu ya kugura kazi ya upishi akawa mwosha kwa mochari

Na PHYLLIS MUSASIA Uraibu wake wa kupika vyakula mbalimbali vilivyoongezwa ladha na kurembeka, ndio kazi iliomwezesha kupata riziki ya...

Kitendawili cha maiti kusalia mochari kwa miaka 15

Na STEPHEN MUTHINI MWILI wa mwanamume kutoka kijijini Ndelekeni, eneobunge la Masinga, Kaunti ya Machakos umekwama mochari kwa miaka 15...

Waelezea jinsi wanavyopata soko kutokana na matangazo ya vifo na shughuli katika mochari

Na MWANGI MUIRURI NI sawa tu mpendwa wenu ameaga dunia ndio, lakini sisi tulio hai ni lazima tulisukume gurudumu la maisha, hilo ndilo...

Aliyedhaniwa kuwa maiti achomwa akiwa usingizini mochari

MASHIRIKA Na PETER MBURU Beaumont, Texas MFANYAKAZI wa mochari moja nchini Marekani alifariki baada ya kuteketezwa kimakosa na...

Hoja ya Jicho Pevu kupinga ada za mochari yapitishwa bungeni

Na CHARLES WASONGA HOSPITALI za umma sasa hazitakuwa zikiitisha malimbikizi ya ada za matibabu kwa wagonjwa watakaofariki wakitibiwa...

Mwanamke aliyepelekwa mochari akiwa hai afariki hospitalini

MASHIRIKA Na PETER MBURU POLISI nchini Urusi wanachunguza kisa ambapo mwanamke wa miaka 62 alifikishwa mochari akiwa hai, baada ya kudaiwa...

Genge laiba ng’ombe 8 na kuwachinja kwa mochari

NA PETER MBURU POLISI mjini Nakuru wanawawinda genge la majambazi ambalo usiku wa kuamkia Jumanne liliiba ng'ombe wanane kutoka shamba...

Mifupa ya binadamu iliyopatikana shambani yapelekwa mochari

Na RICHARD MUNGUTI MIFUPA ya binadamu iliyookotwa katika shamba moja erneo la Ugunja Ijumaa ilipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti...

Marehemu arejeshwa mochari kwa kukosa pa kuzikwa

Na MOHAMED AHMED na BRIAN OCHARO Kwa Muhtasari: Familia ilikuwa imechimba kaburi na kukamilisha mipango ya mazishi wakati...