Liverpool wafungua kampeni za EPL 2022-23 kwa sare ya 2-2 dhidi ya Fulham

Na MASHIRIKA DARWIN Nunez alitokea benchi na kufunga bao kabla ya kuchangua jingine katika gozi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)...

Salah na Kerr waibuka wachezaji bora wa tuzo za Shirika la Waandishi wa Soka (FWA)

Na MASHIRIKA FOWADI Mohamed Salah wa Liverpool mwanasoka bora wa kiume wa tuzo ya Shirika la Waandishi wa Soka (FWA) huku Sam Kerr wa...

Hali ni tete kuhusu mkataba mpya wa Salah kambini mwa Liverpool

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool amesema mustakabali wa nyota Mohamed Salah ugani Anfield utategemea maamuzi yake ya ama...

AFCON: Salah abeba Misri dhidi ya Guinea-Bissau katika Kundi D

Na MASHIRIKA MOHAMED Salah alifunga bao la pekee katika ushindi wa 1-0 uliosajiliwa na Misri dhidi ya Guinea-Bissau katika mchuano wa...

Salah, Messi na Lewandowski kupigania tuzo ya Fifa ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2021

Na MASHIRIKA FOWADI wa Liverpool, Mohamed Salah na mshambuliaji matata wa timu ya wanawake ya Chelsea, Sam Kerr, ni miongoni mwa...

Kibarua kikali EPL ikirejea

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) itarejea hapo kesho Jumamosi baada ya mechi za kufuzu kushiriki Kombe la...

Salah avunja rekodi ya ufungaji wa mabao ya UEFA kambini mwa Liverpool na kusaidia kikosi chake kukomoa Atletico

Na MASHIRIKA MOHAMED Salah aliendeleza ubabe wake ndani ya kikosi cha Liverpool msimu huu kwa kusaidia miamba hao wa soka ya Uingereza...

Sutton athubutu kusema Salah anapiku Ronaldo na Messi katika orodha ya wanasoka bora zaidi duniani kwa sasa

Na MASHIRIKA FOWADI wa zamani wa Blackburn Rovers, Chris Sutton, amekiri kwamba Mohamed Salah ndiye mchezaji bora zaidi duniani kwa sasa...

Salah ataka Liverpool wamfanye sogora ghali zaidi wa EPL ili asalie ugani Anfield

Na MASHIRIKA FOWADI matata raia wa Misri, Mohamed Salah, amewataka Liverpool kumpa mshahara wa hadi Sh78 milioni kwa wiki ndipo arefushe...

Matokeo ya vipimo vya corona ya Mohamed Salah na timu ya Misri itakayochuana na Harambee Stars haya hapa

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIAJI matata wa Liverpool, Mohamed Salah na timu nzima ya Misri iko sawa tayari kwa mechi dhidi ya Kenya ya...

Salah afichua azma ya kuwapungia Liverpool mkono wa kwaheri

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool amefutilia mbali tetesi kwamba nyota Mohamed Salah hafurahii kabisa maisha yake mjini...

Fulham wakaba Liverpool koo na kuwanyima fursa ya kutua kileleni mwa jedwali la EPL

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) walipoteza fursa ya kupaa hadi kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya...