Mtangazaji nguli Mohammed Juma Njuguna amefariki

Na BENSON MATHEKA na PSCU MTANGAZAJI maarufu wa redio Mohammed Juma Njuguna ameaga dunia Jumamosi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Bw...