Kaunti yasimamisha ujenzi wa majumba 100

NA WINNIE ATIENO SERIKALI ya kaunti ya Mombasa, imepiga marufuku ujenzi wa majengo 100 baada ya kufichuka kwamba wamiliki walikiuka sheria...

Wazazi kukamatwa kwa kuficha watoto wahalifu

NA WINNIE ATIENO WAZAZI watakaoficha watoto wao ambao ni washukiwa wa uhalifu, watakamatwa na kushtakiwa kwa kosa la kuwa washirika wa...

Amerika yatoa ahadi kusaidia Joho kufufua uchumi wa kaunti yake

Na PHILIP MUYANGA SERIKALI ya Amerika imejitolea kusaidia ufufuzi wa uchumi wa Kaunti ya Mombasa uliopata pigo kubwa kutokana na janga...

Mtihani manaibu 3 wakiendea ugavana

MAUREEN ONGALA na VALENTINE OBARA MANAIBU gavana wa kaunti tatu za Pwani wanatarajiwa kukabiliana na mibabe wa kisiasa mwaka ujao katika...

Wezi wakata vyuma vya daraja la Makupa

WACHIRA MWANGI na SIAGO CECE WASIWASI umetanda miongoni mwa wakazi wa mji wa Mombasa wakiwa na hofu kuwa daraja la Makupa...

Wakazi sasa kusafisha jiji kila mwezi

Na WACHIRA MWANGI WAKAZI wa Kaunti ya Mombasa wametakiwa kujitwika jukumu la kuhakikisha jiji hilo ni safi kila mara kwa kujizuia kutupa...

Mpango wa ‘Happy Hour’ warejeshwa kupunguza msongamano Mombasa

Na Mohamed Ahmed SERIKALI ya kaunti ya Mombasa imerudisha mpango wa kupunguza msongamano wa magari kupitia mtindo unaojulikana kama...

Joto la siasa lapanda Pwani Ruto na Raila waking’ang’ania kura za wakazi

NA MOHAMED AHMED JOTO la siasa limepanda Pwani huku migawanyiko ikizuka katika kambi za kiongozi wa ODM Raila Odinga na Naibu Rais...

Mwanamke afariki baada ya kutumbukia baharini

Na MOHAMED AHMED MWANAMKE alifariki Jumatano jijini Mombasa baada ya gari alilokuwa anaendesha kutumbukia baharini eneo la...

Miradi ya barabara hatarini Mombasa

Na WACHIRA MWANGI HATARI inawakodolea macho raia kufuatia kuharibika kwa sehemu za miradi miwili mikubwa ya miundo msingi katika Kaunti...

Wakazi Mombasa watisha kuishtaki serikali kwa kuwafungia

Na DIANA MUTHEU WAKAZI wa mtaa wa Old Town jijini Mombasa, wametishia kushtaki serikali kuu na ya kaunti kwa kuwafungia mtaani humo...

KAFYU: Pigo kwa wenye vilabu vya densi na makahaba

Na MISHI GONGO WAMILIKI wa vilabu vya densi na makahaba wamepata pigo baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuongeza marufuku ya kufungwa kwa...