Bournemouth wamtwaa mshambuliaji Morgan Rogers kutoka Man-City

Na MASHIRIKA BOURNEMOUTH wamejitwalia huduma za fowadi Morgan Rogers kutoka Manchester City kwa mkopo wa mwaka mmoja huku wakiwa huru...