Mhadhiri motoni kwa kushiriki ngono na mwanafunzi

Na AFP RABAT, MOROCCO MAHAKAMA moja nchini Morocco, Jumatano ilimhukumu mhadhiri wa chuo kikuu miaka miwili gerezani, kwa madai ya...

Morocco wapepeta Mali na kuhifadhi ubingwa wa taji la CHAN

Na MASHIRIKA MOROCCO ndiyo timu ya kwanza kutetea ufalme wa taji la CHAN baada ya kusajili ushindi wa 2-0 dhidi ya Mali jijini Yaounde,...

Mashabiki wa Morocco kuandamana dhidi ya FIFA kwa kung’olewa Urusi

Na GEOFFREY ANENE MOROCCO itacheza mechi dhidi ya Uhispania Jumatatu usiku bila matumaini ya kuingia katika raundi ya 16-bora ya Kombe la...

Morocco sasa yaangazia kuandaa Kombe la Dunia 2030

Na GEOFFREY ANENE MOROCCO bado ina matumaini ya kuandaa Kombe la Dunia siku moja hata baada ya juhudi zake kugonga mwamba mara tano. Saa...

Ni kicheko tu kwa Morocco kuona Saudia ikinyeshewa 5-0 na Urusi

Na GEOFFREY ANENE SAA chache baada ya Saudi Arabia kukosa kipigia kura ya kuamua mwenyeji wa Kombe la Dunia mwaka 2026, Morocco...

Itawabidi Stars kujikakamua zaidi kuzima Comoros na CAR, asema Wanyama

Na GEOFFREY ANENE HARAMBEE Stars italenga kujisukuma hata zaidi kupata matokeo mazuri katika mechi zijazo kutokana na motisha ya...

Blatter ataka Kombe la Dunia 2026 liandaliwe Morocco

Na GEOFFREY ANENE ‘FISADI’ Sepp Blatter anapigia debe Morocco kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2026. Rais huyu wa zamani wa Shirikisho la...