Kuria aagizwa kufika mbele ya kamati ya IEBC

NA CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imemwamuru Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria kufika mbele yake ili afafanue...

Hatutahudhuria mkutano wa BBI Mlima Kenya – Kuria

Na NDUNG’U GACHANE MBUNGE wa Gatundu Kusini, Moses Kuria amesema idadi kubwa ya wabunge wa Mlima Kenya hawatahudhuria mkutano wa...

Kuria apinga pendekezo la Duale kuondoa mfumo wa urais

Na NDUNGU GACHANE MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria amepuuzilia mbali pendekezo la Kiongozi wa Wengi Bungeni, Bw Aden Duale, la...

Natamani kuwa kama Raila, ana roho safi sana – Moses Kuria

Na PETER MBURU Raila ni mtu wa maajabu na mwenye roho safi ajabu. Haya ni maneno ya mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria, ambaye aidha...

Kuria ajiona kama ‘zawadi’ kwa Wakenya

Na PETER MBURU MBUNGE wa Gatundu Kusini sasa anadai kuwa ndiye zawadi ya Kenya kutoka kwa Mungu, ambayo itawashikanisha Wakenya...

Nitampinga Uhuru akiunga referenda – Kuria

Na PETER MBURU MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria amesema kuwa yuko tayari kumpinga Rais Uhuru Kenyatta, endapo ataunga mkono...

Kuria akataa marupurupu, aamuru pesa hizo zipelekwe Hospitali ya Gatundu

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria Jumanne aliagiza usimamizi wa bunge kuelekeza pesa ambazo angelipwa kama...

Uamuzi wa kesi ya uchochezi dhidi ya Kuria waahirishwa

Na RICHARD MUNGUTI UAMUZI wa kesi ya uchochezi dhidi ya Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria uliahirishwa Jumatatu hadi Julai 29,...

Kuria ashangaa kwa nini Matiang’i hajakamatwa kwa kusema Wachina watimuliwe

Na PETER MBURU MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria Jumatano amekashifu hatua ya polisi kumkamata mbunge wa Starehe Charles Njagua...

Ngome ya Rais Kiambu imechoshwa na handisheki – Kuria

Na PETER MBURU MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria sasa anadai kuwa wakazi wa Kaunti ya Kiambu ambako ni ngome ya Rais Uhuru Kenyatta...

Kuria ataka bunge libuni wadhifa wa Waziri Mkuu

Na ERIC WAINAINA MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria, ameunga mkono pendekezo la kubuniwa kwa wadhifa wa Waziri Mkuu na manaibu wawili...

Mashtaka ya uchochezi dhidi ya Kuria yafutwa

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Jumatatu alitia kikomo ushahidi dhidi ya Mbunge wa Gatundu kusini Moses Kuria...