Mioto shuleni: Rai wizara ibuni kamati maalum

Na FAITH NYAMAI CHAMA cha Wazimamoto Kenya (KNFBA) kimetoa wito kwa Wizara ya Elimu kuunda kamati za kupunguza visa vya moto...

Mlipuko usiku waibua hofu kijijini Lamu

Na KALUME KAZUNGU TAHARUKI imetanda katika kijiji cha Kiunga kilicho mpakani mwa Lamu na Somalia, baada ya mlipuko mkubwa kutokea usiku...

WANTO WARUI: Serikali isaidie kutafuta suluhu kwa visa vya moto shuleni

NA WANTO WARUI WASIWASI umezuka kwa wazazi na walimu wa shule za sekondari kutokana na visa vingi vya moto shuleni ambavyo vinaendelea...

Polisi waanza kufanya uchunguzi baada ya moto kuchoma magari kwenye gereji

Na SAMMY KIMATU MAGARI 13 yakiwemo ya kifahari yaliteketea katika gereji moja eneo la Cereal Board mkabala wa barabara ya Lunga Lunga,...

Familia zaidi ya 50 zapoteza nyumba zao kwenye mkasa wa moto

Na SAMMY KIMATU MALI yenye thamani ya mamilioni ya pesa iliteketea usiku wa kuamkia Jumatatu katika kisa cha moto kwenye mtaa mmoja wa...

Kibicho: Tutaweka kamera za siri Gikomba kudhibiti mikasa ya moto

Na SAMMY WAWERU KATIBU katika Wizara ya Usalama wa Ndani Dkt Karanja Kibicho amesema serikali inalenga kupata suluhu ya kudumu kudhibiti...

Wazimamoto wafaidika kwa mafunzo ya kisasa

Na KENYA NEWS AGENCY KIKOSI cha Kukabili Mioto cha Jimbo la Minnesota, Amerika, kimeanza kutoa mafunzo maalum kwa wazimamoto katika...

Wawili wafariki mamia wakikesha nje baada ya nyumba kuteketea Mukuru

Na SAMMY KIMATU WATU wawili wamefariki katika kisa cha moto huku mtu wa tatu akiuguza majeraha katika hospitali nazo familia 131...

Familia 50 zaumizwa na baridi kali baada ya nyumba zao kuteketea Mukuru-Kayaba

Na SAMMY KIMATU FAMILIA 50 zilikesha nje penye baridi baada ya nyumba zao kuteketea kwenye mkasa wa moto usiku wa kuamkia...

Moto wateketeza afisi ya naibu kamishna Lari, nyumba za polisi

Na LAWRENCE ONGARO MOTO mkubwa ulishuhudiwa katika eneo la Lari katika wadi ya Kinare, Kaunti ya Kiambu na kuteketeza afisi ya naibu...

Nyumba 100 zateketea Mukuru

NA SAMMY KIMATU   NAIROBI   ZAIDI ya watu 300 katika mtaa mmoja wa mabanda kaunti ya Nairobi walikesha nje penye...

Moto wasababishia wakazi hasara ya Sh50m

NA RUTH MBULA NA FAUSTINE NGILA Wakulima wa kikundi cha Keyian kaunti ya Transmara Magharibi wanakadiria harasa ya Sh50 milioni baada ya...