Mwanamke amwagia mpango wa kando Petroli

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE aliyemmwagia mafuta ya petroli mtaalam wa lishe katika Gereza kuu la Kamiti na kutisha kumuua kwa kumtekeza...

Pigo kwa ‘mpango wa kando’ Uhuru akisaini sheria kuhusu urithi

Na CHARLES WASONGA NI pigo kwa wapenzi wa pembeni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada unaowazima kudai mgao wa urithi wa...

Kuteua ‘mipango ya kando’ kwa afisi za serikali ni uhaini – Kuria

Na MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria Jumatatu amesema kuwa kukiri kwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko kuwa alimteua...

Jela maisha kwa kuua mpango wa kando’

Na MWANGI MACHARIA MWANAMKE amehukumiwa maisha gerezani kwa kumuua mwanafunzi wa chuo kikuu kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na...

Polo aliyeacha dirisha wazi kurina asali ya kando afumaniwa na mpenzi

Na TOBBIE WEKESA DANDORA, NAIROBI. Kioja kilizuka kwenye ploti moja mtaani hapa baada ya kipusa kumfumania mchumba wake akila uroda...

Gari la mwanamke aliyeuawa kinyama lapatikana

WYCLIFFE MUIA, FRANCIS MUREITHI Na MARGARET MAINA GARI la mwanamke aliyepatikana ameuawa na mwili wake kutupwa kwenye bwawa eneo la...

PENZI LA MAUTI: Mume na mpango wa kando wazuiliwa kwa mauaji ya mkewe

Na ERIC WAINAINA MWANAMUME alifikishwa katika mahakama ya Kiambu Jumanne pamoja na mwanamke anayeshukiwa kuwa mpenzi wake wa kando kwa...

Mchepuko wavuruga harusi siku ya mwisho

MASHIRIKA na PETER MBURU MWANAMKE mmoja Uingereza ameshangaza ulimwengu baada ya kuvuruga harusi kati yake na mumewe dakika za mwisho,...

Ataliki mkewe baada ya kumfumania na mpango wa kando kwenye Google Street View

MASHIRIKA na PETER MBURU MWANAMUME mmoja kutoka Peru alipigwa na butwaa ya maisha wakati alimpata mkewe akijiburudisha na mwanaume...

Kioja cha mwaka mwanamume kwenda haja kubwa kitandani kwa mpango wa kando

Na PETER MBURU MWANAMUME mmoja kutoka mjini Bura, kaunti ya Tana River aliwaghadhabisha wakazi na kuwasababisha kumpa kichapo cha mbwa...

Dume lamkana mke aliyemfumania akitomasa kimada

Na SAMMY WAWERU Kiangoma, Nyeri Kioja kilitokea katika baa moja mtaani hapa pale jamaa alipomkana mkewe aliyemfumania akiwa na mpango...

Ajiua sababu ya mke kuwa na mpango wa kando

Na KALUME KAZUNGU MWANAMUME wa makamo (pichani) Jumanne alijitia kitanzi baada ya kugundua kuwa mkewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi...