BI TAIFA JANUARI 26, 2021

JACKLINE Nyawira, 20, ni mzaliwa wa Nyeri. Yeye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Kenyatta kwa sasa anakosomea udaktari. Uraibu wake ni...

BI TAIFA JANUARI 25, 2021

DAMARIS Wangoi, 23, kutoka Nakuru ndiye anatupambia ukurasa leo. Yeye ni mjuzi wa masuala ya vipodozi. Uraibu wake ni kutazama filamu za...

BI TAIFA JANUARI 8, 2021

MARGARET Nyambura, 22, ni mkazi wa Free Area, Kaunti ya Nakuru. Ni mfanyabiashara na uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kusakata densi....

BI TAIFA JANUARI 7, 2021

RUTH Mukami ni mfanyabiashara mjini Elburgon katika Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri na kuimba. Picha/ John Njoroge

BI TAIFA NOVEMBA 2, 2019

VIVIAN Moraa, 20, ni mwanafunzi wa taaluma ya Uanahabari katika Chuo cha RVIBS, Nairobi. Uraibu wake ni kuigiza. Picha/ Richard Maosi

BI TAIFA JUMAMOSI, JULAI 20, 2019

ASHER Annex, 23, ni mwanafunzi katika Chuo cha Mwangaza, Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kukutana na marafiki wapya. Picha/...

BI TAIFA JUMAMOSI, MACHI 30, 2019

JANE BROWN, 22, ni mhasibu katika kampuni moja mjini Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kutazama filamu. Picha/ Richard Maosi

BI TAIFA IJUMAA, MACHI 22, 2019

MGENI wetu wa leo ni Bi Anita Cherotich, 23, mwanafunzi katika chuo cha Cambridge, Eldoret. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kuimba...

BI TAIFA, IJUMAA, MACHI 15, 2019

MGENI wetu wa leo ni Bi Lilian Awino, 22. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Egerton, Njoro, Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea,...

BI TAIFA, JUMAMOSI, MACHI 9, 2019

PAULINE ANN, 21, ni mwanafunzi kutoka eneo la Ol-Kalou. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kutazama filamu. Picha/ Richard Maosi

BI TAIFA IJUMAA, MACHI 8, 2019

Aliyebahatika kuwa mgeni wetu kwenye ukumbi huu ni malkia Sakeenah Raysheed kutoka kaunti ya Kirinyaga. Yeye hupenda kucheza densi,...