LEONARD ONYANGO: Serikali itoe chakula cha msaada kwa kaunti zote 47

Na LEONARD ONYANGO TAKWIMU za serikali zinaonyesha kuwa wakazi wa kaunti 23, hasa katika maeneo kame, wanahitaji chakula kwa dharura...

CHARLES WASONGA: Serikali izuie wizi wa vyakula vya misaada kwa wahanga wa ukame

Na CHARLES WASONGA BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kutangaza ukame kuwa janga la kitaifa, kuna uwezekano mkubwa kwamba mashirika mbalimbali...

Shirika la The Voice Kiambu lafadhili watoto mayatima

Na LAWRENCE ONGARO SHIRIKA la The Voice Kiambu County, limejitolea kuwafadhili watoto mayatima kwa lengo la kuwajali wasio...

Wahubiri wapokea msaada wa chakula kutoka kwa mbunge

NA ERIC MATARA Zaidi ya wahubiri 300 wamepokea msaada wa chakula, Barakoa na vifaa vingine vya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi...

Aibu ya machifu kujinufaisha na chakula cha msaada

By IAN BYRON Wakazi wa eneo la Uriri, Kaunti ya Mirogi wanalalamika kwamba wasimamizi wa mtaa huo wanajinufaisha na chakula...

Zoom inavyotumika Meru kuwafaa wasiojiweza

Na CHARLES WANYORO Wanachama wa kundi la vijijini eneo la Uruku katika Kaunti ya Meru wanatumia mikutano ya mitandaoni kuhamasishana...

Maafisa wa usalama wanufaika na msaada wa chakula

Na LAWRENCE ONGARO VIZUIZI vya magari barabarani vimesaidia sana kupunguza homa ya Covid-19. Mnamo Jumatatu, maafisa wa polisi...

Familia 10,000 kunufaika na msaada Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO MADIWANI watakuwa miongoni mwa viongozi watakaosambaza chakula katika kaunti ya Kiambu. Gavana wa Kiambu Dkt James...

Ruto na Ichung’wa wakana kuwapa wakazi wa Kiambu chakula hatari

NA SIMON CIURI Utata umeibuka kuhusu aliyetoa chakula cha msaada kilichopewa wakazi wa kaunti ya Kiambu Jumatatu ikidaiwa chakula hicho...

2022: Ruto anavyotumia chakula cha msaada kujitangaza kisiasa

Na BENSON MATHEKA Kujitokeza kwa Naibu Rais William Ruto kugawa chakula cha msaada wakati huu wa janga la corona ni mbinu yake ya kuanza...

CTWOO: Shirika lawafaa wengi kwa kusambaza chakula mitaa ya mabanda

Na SAMMY WAWERU MOYO wa kutoa ulichangia pakubwa hatua ya Bi Dianah Kamande kuanzisha shirika moja lisilo la kiserikali (NGO) la...

Kampuni ya Broadway yatoa msaada wa unga na pesa

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Broadway Group of Companies (Bakex Millers) imetoa mchango wa Sh12.5 milioni na mifuko kiasi cha beli...