Grace Msalame kushtaki UG kwa kutumia picha zake kuvumisha utalii

Na WYCLIFFE MUIA MPANGO wa serikali ya Uganda wa kugeuza wanawake wanene kuwa kivutio cha kitalii, umeingia doa baada ya mtangazaji...