Hii handisheki ni ndoto tu – Ruto

Na SAMUEL BAYA SIKU moja baada ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga kuungana, Naibu Rais...

Nyanza kuvuna zaidi kutokana na muafaka

Na PETER MBURU MUAFAKA wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga umezidi kulizalia eneo la Nyanza matunda, kwani sasa Jiji la...

‘Handisheki’ inavyomfaa Raila

Na BENSON MATHEKA MUAFAKA maarufu kama “handisheki” kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM, Raila Odinga umeibuka kuwa...

Mudavadi ataka jopo la maridhiano kuitisha mkutano Bomas

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi ameitaka Kamati ya Maridhiano (BBI) kuitisha...

2018: Muafaka wa Uhuru na Raila uliibua mtazamo mpya wa kisiasa bungeni

Na CHARLES WASONGA MBWEMBWE na mahanjam zilishamiri bungeni mnamo Machi mwaka huu Rais Uhuru Kenyatta alipowasilisha Hotuba yake kuhusu...

KRISMASI: Sura mpya za vigogo wa kisiasa wakisherehekea msimu

Na VALENTINE OBARA KRISMASI ya mwaka huu inatarajiwa kuwa yenye tofauti kubwa kwa viongozi wakuu wa kisiasa ikilinganishwa na jinsi...

OBARA: Muafaka usiwe siasa tu bali uinue maisha ya raia

Na VALENTINE OBARA USHIRIKIANO wa Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga, unaazidi kusifiwa kutoka pande...

Uhuru na Raila washauriana kisiri usiku

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta alikutana kisiri na kiongozi wa ODM Raila Odinga mnamo Alhamisi usiku katika Ikulu ndogo ya Kisumu...

Hoteli Kisumu zavuna matunda ya muafaka kwenye ziara ya Rais

Na ELIZABETH OJINA-250 MIKAHAWA ya kifahari jijini Kisumu imevuna pakubwa kutokana na ziara ya Rais Uhuru Kenyatta kuzindua mpango wa Afya...

Referenda yaja, Uhuru adokezea Wakenya

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta Alhamisi alidokeza kuunga mkono marekebisho ya Katiba ili kuwe na nafasi zaidi za uongozi...

MOHAMMED: Muafaka wa Uhuru na Raila hakika ni laana ya aina yake

Na MAINA MOHAMMED LABDA ni mojawapo ya masuala yatakayoandika upya historia ya siasa za upinzani Kenya. Ama karata aliyocheza Rais...

MUAFAKA: Kamati ya pamoja kuzuru kaunti zote 47 kupata maoni ya Wakenya

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Kitaifa la Maridhiano (Building Bridges Initiative) imeanza vikao vyake vya kufanya mashauriano na...