Agizo la Joho kuhusu miraa lapingwa vikali

Na WACHIRA MWANGI SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa, italazimika kutafuta pesa kwingine baada ya Gavana Hassan Joho kuagiza kuwa magari ya...

Madiwani wataka ushuru wa muguka uongezwe ili kuokoa ndoa

Na ALEX KALAMA DIWANI wa wadi ya Garashi iliyo katika Kaunti ya Kilifi, Bw Peter Ziro amewasilisha hoja ya kutaka ushuru wa muguka...

Visa vya akina mama kulipwa miraa mabinti wakilala na wazee vyaripotiwa Lamu

Na KALUME KAZUNGU BAADHI ya akina mama kwenye vijiji vingi vya Waboni, Kaunti ya Lamu wamelaumiwa kwa kushawishika kulipwa miraa na...

Hoja ya kuzima uuzaji muguka yaibua maoni mseto

Na KALUME KAZUNGU WATAFUNAJI muguka Kaunti ya Lamu watalazimika kusafiri hadi nje ya eneo hilo ili kutafuta bidhaa hiyo, endapo hoja ya...

Juhudi za kuzima ‘muguka’ zafeli

Na Farhiya Hussein KAUNTI ya Mombasa haijafanikiwa kuangamiza utafunaji Muguka, kwani biashara hiyo bado ni maaarufu eneo la...

Vioski vya muguka vyaanza kubomolewa Mombasa

Na MOHAMED AHMED SIKU moja baada ya wawakilishi wa wadi ya Mombasa kuanzisha mikakati ya kupiga marufuku uuzaji wa muguka askari wa...

Gunia la miraa latolewa kanisani kama sadaka

Na LEAH MAKENA MUTUATI, MERU Polo wa eneo hili alishangaza waumini wa kanisa moja kwa kupeleka gunia la miraa kanisani kama sadaka ya...

Kaunti za Meru na Embu zapigania miraa

DAVID MUCHUI na CHARLES WANYORO SERIKALI za Kaunti za Embu na Meru zinazozania Sh2.2 bilioni zilizotolewa kuwafaa wakulima wa miraa...

Marufuku kutafuna miraa na muguka Nyandarua

Na WAIKWA MAINA WATAFUNAJI wa miraa na muguka katika Kaunti ya Nyandarua sasa watalazimika kutafuta bidhaa hizo katika kaunti jirani...