Wakazi wa mitaa sita ya Mukuru wahangaika kupata maji kwa zaidi ya wiki moja

Na SAMMY KIMATU WAKAZI katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kwa Reuben ulioko katika kaunti ndogo ya Embakasi Kusini wanahangaika kwa kukosa...

Familia 12,000 Mukuru zapoteza makao serikali ikiunda barabara mpya

Na SAMMY KIMATU ZAIDI ya watu 12,000 watakosa makao yao ili kubisha nafasi ya ujenzi wa barabara za lami na nyumba za kudumu...

Familia yataka ripoti ya daktari kuhusu mtoto wao aliyefariki

Na SAMMY KIMATU skimatu@ke.nationmedia.com MTOTO wa umri wa miaka tisa alifariki Jumatano katika kisa chenye utata katika mtaa mmoja...

CORONA: Maisha mitaa ya mabanda ni kawaida

SAMMY KIMATU Na EUNICE MURATHE HUKU hatari ya virusi vya corona ikitishia kulemaza maisha ya kawaida, baadhi ya watu wanaendelea kupuuza...

Jinsi ving’ora vilivyochanganya wakazi

Na Sammy Kimatu skimatu@ke.nationmedia.com HOFU ilitanda katika mitaa ya mabanda ya Mukuru-Sinai sawia na Mukuru-Lunga Lunga baada ya...

Wawili wauawa na umeme Mukuru

Na SAMMY KIMATU WATU wawili wamefariki baada ya kupigwa na stima umeme katika mitaa miwili ya Mukuru ilioko kaunti ya Nairobi...

Nyumba 60 zateketea Mukuru-Kayaba

Na SAMMY KIMATU FAMILIA zaidi ya 50 zilikesha nje penye baridi baada ya moto mkubwa kuteketeza nyumba 60 Jumatatu usiku. Moto huo,...

Uchafu kwenye mazingira ulivyozidisha athari za mafuriko mitaani

Na SAMMY KIMATU MVUA ni baraka na Wakenya wamekuwa wakiiomba inyeshe baada ya kushuhudiwa mahangaiko yaliyosababishwa na ukame na...