Mazishi ya dakika 20 ya aliyekuwa kinara wa ‘Mungiki’

Na MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA kinara wa kundi haramu la Mungiki ukanda wa Kati ya Mlima Kenya kati ya 2001 na 2008 Mwangi wa Njoki...

Mungiki wazimwe kabisa Mlima Kenya – Kibicho

NA GEORGE MUNENE KATIBU katika Wizara ya Usalama wa Ndani Bw Karanja Kibicho ameamuru kuzimwa kwa kundi la uhalifu la Mungiki...

Wasiwasi wazuka baada ya makundi ya Mungiki, Gaza kuungana

Na TAIFA RIPOTA TAHARUKI imezuka upya katika eneo la Kati kufuatia habari za kuungana kwa makundi ya uhalifu ya Gaza na...

Polisi Mungiki wanavyotesa wananchi

Na MWANDISHI WETU HUKU makundi ya wahalifu yakiendelea kuhangaisha raia, baadhi ya maafisa wa polisi wamebuni magenge yao ya kuchukua...

Magenge hatari yalivyoteka nchi

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA wengi wanaendelea kuishi roho mkononi huku magenge ya wahalifu yakizidi kongezeka na polisi kuonekana...

Mungiki, Usiku Sacco na Gaza wahangaisha wafanyabiashara

NICHOLAS KOMU na NDUNGU GACHANE VISA vya uvamizi unaotekelezwa na magenge ya wahalifu vinazidi kuongezeka katika eneo la Kati huku...

24 wanaswa katika msako dhidi ya Mungiki

Na NICHOLAS KOMU WATU 24 walikamatwa katika Kaunti ya Nyeri kwa kuhusishwa na kundi haramu la Mungiki, huku wahalifu wawili sugu...

Hofu Mungiki wakirejea kuhangaisha wakazi

NICHOLAS KOMU na JOSEPH WANGUI WASIWASI umetanda kwamba kundi la Mungiki limeibuka upya na sasa linasajili hata watoto wa shule katika...