Jubilee haitambembeleza Kuria, atatimuliwa chamani – Murathe

Na SAMMY WAWERU CHAMA tawala cha Jubilee (JP) kimetishia kumtimua mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria kwa kile kimedai ni “kukiuka...

WANDERI: Murathe anaharibia Rais akidhani kuwa anamjenga

Na WANDERI KAMAU KABLA ya kifo chake mnamo 2017, aliyekuwa kiongozi wa Kanisa la PCEA, Dkt John Gatu, aliandika wasifu wake ‘Fan into...

Mlima Kenya tunalenga minofu 2022 – Murathe

KEN KIMANTHI na MWANGI MUIRURI NAIBU Mwenyekiti wa Chama cha Jubilee, Bw David Murathe amekiri kuwa eneo la Mlima Kenya litanuia kupata...

Ndoa ya ODM na Jubilee yaingia doa

Na BENSON MATHEKA KUJIVUTA kwa chama cha ODM, kukubali mkataba wa ushirikiano na chama cha Jubilee kulisababisha mzozo kuhusu uanachama...

Murathe si wa hadhi yangu, asema Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto Ijumaa hatimaye aliguzia, japo kwa kudokeza, shutuma zilizoelekezwa kwake na aliyekuwa Naibu...

Murathe afichua kiini cha uhasama wake na Ruto

Na WANDERI KAMAU  ALIYEKUWA Naibu Mwenyekiti wa Chama cha Jubilee (JP) David Murathe ametaja matatizo yaliyotokea kwenye teuzi za chama...

Murathe ashauri Kalonzo apuuze ‘kelele’ za waasi katika Wiper

Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA Naibu Mwenyekiti wa chama cha Jubilee David Murathe amemshauri kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kupuuza...

Mbunge wa Machakos amkejeli Murathe, asimama na Ruto

Na Stephen Muthini MBUNGE wa Machakos Mjini, Bw Victor Munyaka amejiunga na kikundi cha viongozi wanaompigia debe Naibu Rais William...

Tumbojoto ndani ya Jubilee baada ya Murathe kujiuzulu

BENSON MATHEKA na WANDERI KAMAU NAIBU Mwenyekiti wa chama cha Jubilee David Murathe, Jumapili alijiuzulu wadhifa wake akisema...

Ruto aondoke ifikapo 2022, Maina Kamanda amuunga mkono Murathe

SAMWEL OWINO, ONYANGO K’ONYANGO na WYCLIFF KIPSANG MBUNGE Maalum Maina Kamanda amejitokeza kutetea naibu mwenyekiti wa Jubilee David...

KINAYA: Wafuasi wa Samoei watatambua Murathe ni nani, watajua hawajui!

NA DOUGLAS MUTUA MAMBO vipi mtu wangu? Krismasi umekula vizuri? Mwaka nao unakuishiaje? Wangu ni vilevile tu, yaani kisiasa, kwa maana...

Matamshi ya Murathe yaipasua Jubilee

Na WAANDISHI WETU MATAMSHI ya Naibu Mwenyekiti wa chama tawala cha Jubilee, David Murathe kuwa eneo la Mlima Kenya halitamuunga mkono...