Tangatanga wamzomea Uhuru kwa matamshi

Na WANDERI KAMAU WANASIASA wa mrengo wa ‘Tangatanga’ wanaomuunga mkono Naibu Rais William Ruto, wamkashifu vikali Rais Uhuru...

Murkomen asema habanduki Jubilee

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen ameshikilia hatobanduka chama cha Jubilee na kusema ataendelea kuunga...

Lusaka atia muhuri kubanduliwa kwa Murkomen

Na CHARLES WASONGA SASA ni rasmi kwamba Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen na mwenzake wa Nakuru Susan Kihika wamepokonywa...

Uhuru aangusha bakora

CHARLES WASONGA na IBRAHIM ORUKO MISUKOSUKO ya kisiasa ambayo imekuwa ikitokota katika chama tawala cha Jubilee hatimaye ililipuka...

Sasa maseneta 22 wamwandikia Lusaka kupinga kutimuliwa kwa Murkomen na Kihika

Na CHARLES WASONGA MASENETA 22 wa Jubilee wamemwandikia barua Spika wa Seneti Kenneth Lusaka wakipinga mabadiliko yaliyotekelezwa kwa...

Mapinduzi seneti

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE Rais Uhuru Kenyatta amefanikisha mapinduzi ya uongozi wa mrengo wa Jubilee katika Seneti kwa kuteua Seneta...

Muungano wa Jubilee na Kanu unalenga kumwondoa Murkomen katika wadhifa wake?

Na CHARLES WASONGA DURU zinasema huenda mkutano wa maseneta wa Jubilee ambao Rais Uhuru Kenyatta ameitisha katika Ikulu ya Nairobi...

BBI: Tangatanga wapanga kumzima Raila Nakuru

Na CHARLES WASONGA WABUNGE na maseneta kutoka Rift Valley watawasilisha mapendekezo yao kwa mwenyekiti wa jopokazi la maridhiano (BBI)...

‘Tangatanga’ wataka vijana wasio na kazi walipwe

VALENTINE OBARA na MACHARIA MWANGI WANASIASA wanaoegemea upande wa Naibu Rais William Ruto wamerushia vijana ndoano huku wakijiandaa...

Presha Duale na Murkomen watimuliwe yazidi

Na ONYANGO K’ONYANGO SHINIKIZO imezidi kutolewa kwa Chama cha Jubilee kubadilisha viongozi wa wengi na viranja katika bunge la taifa...

BBI: Mivutano ya kisiasa yatarajiwa

Na BENSON MATHEKA SAFARI ya kujadili na hatimaye kutekeleza ripoti ya Jopokazi la Maridhiano (BBI), ambayo ilitolewa rasmi kwa umma jana...

Seneta Murkomen mwingi wa bashasha baada ya kufanyiwa upasuaji salama

Na MARY WANGARI SENETA wa Elgeyo-Marakwet, Kipchumba Murkomen amejawa na bashasha baada ya kufanyiwa upasuaji salama kufuatia jeraha...