Beki wa Harambee Stars Musa Mohammed asajiliwa na Difaa El Jadida nchini Morocco

Na CHRIS ADUNGO BEKI matata wa Harambee Stars, Musa Mohammed, amejiunga rasmi na kikosi cha Difaa El Jadida kinachoshiriki Ligi Kuu ya...

Kuchezea Gor Mahia kuliniandaa kwa soka ya ushindani mkubwa – Musa Mohammed

Na CHRIS ADUNGO NAHODHA wa zamani wa Gor Mahia, Musa Mohammed, amekiri kwamba kuchezea mabingwa hao mara 19 wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL)...