Covid: Kagwe aapa kupuuza uamuzi wa korti kuhusu chanjo

RICHARD MUNGUTI na PIUS MAUNDU MAHAKAMA Kuu imepiga breki agizo la Waziri wa Afya Mutahi Kagwe kwamba Wakenya ambao hawatakuwa wamepata...

Kagwe awaharibia Wakenya Krismasi

Na WINNIE ATIENO WADAU katika sekta zinazotegemewa sana kwa sherehe za kufunga mwaka, wanahofia kupata hasara Desemba ikiwa serikali...

Kafyu yasaidia kuepusha hali mbaya shughuli ya utoaji chanjo ikiendelea – Kagwe

Na SAMMY WAWERU AMRI ya kitaifa ya kutotoka nje kati ya saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri itaendelea kutekelezwa kwa muda wa siku 30...

Wanafunzi wanaougua corona hawaonyeshi dalili – Kagwe

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Afya Mutahi Kagwe ameonya kuwa endapo wananchi hawatachukua tahadhari na kujikinga kutokana na virusi vya...

Corona: Kagwe atoa afueni kwa kaunti 13 za magharibi mwa Kenya

Na CHARLES WASONGA SERIKALI sasa imebadilisha saa za kafyu katika kaunti 13 katika maeneo yanayopakana na Ziwa Victoria ambayo yalitajwa...

‘Hakuna kifo cha corona jana Jumatano’

Na CHARLES WASONGA KENYA Jumatano, haikuandikisha kisa chochote cha maafa kutokana na ugonjwa wa Covid-19 huku visa 485 vipya vya...

Kisumu ingali juu kwa visa vipya vya corona

Na CHARLES WASONGA KAUNTI ya Kisumu inaendelea kuongoza katika idadi ya visa vya maambukizi ya Covid-19 inayorekodiwa katika kila moja...

Mapuuza ya sheria yaendelezwa na mawaziri

Na CHARLES WASONGA MOJAWAPO ya sababu zilizochangia mahakama kuu kuharamisha mchakato wa mageuzi ya Katiba kupitia mpango wa maridhiano...

Kenya yakabiliwa na uhaba mkubwa wa chanjo ya corona

Na CHARLES WASONGA KIWANGO cha maambukizi ya corona kilipanda Jumatano hadi asilimia 9.1 kutoka asilimia 7.5 Jumanne baada ya serikali...

Kaunti kupokonywa chanjo zipelekwe kwingine

Na IRENE MUGO KAUNTI ambazo zina idadi kubwa ya watu wanaosusia chanjo ya virusi vya corona, zitapokonywa chanjo hizo ili zipelekwe...

Maelfu kuenda Uingereza kabla ya marufuku kuanza

Na LEONARD ONYANGO SHIRIKA la Ndege la Kenya (KQ) limeongeza idadi ya ndege zitakazohudumia idadi kubwa ya watu wanaotaka kwenda...

Aina hatari ya corona imetua nchini – Kagwe

Na BENSON MATHEKA Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe, amekiri kwamba visa vya maambukizi ya aina mpya hatari ya corona iliyogunduliwa Afrika...