Polisi watibua mkutano wa wanachama wa UDA Pwani

ANTHONY KITIMO na VALENTINE OBARA MWENYEKITI wa Chama cha United Democratic Alliance (UDA), Johnstone Muthama na Katibu Mkuu Veronica...

Muthama, mkewe wa zamani waanza kuraruana kisiasa

Na WAANDISHI WETU ALIYEKUWA Seneta wa Machakos, Johnstone Muthama na mkewe wa zamani Agnes Kavindu, walijibizana wakati kampeni za...

Kalonzo, Muthama, Mutua kupimana ubabe kampeni zikianza kwa kishindo

Na BENSON MATHEKA KAMPENI za uchaguzi mdogo wa kiti cha useneta Kaunti ya Machakos zilianza kwa kishindo baada ya wagombeaji wanane...

Wiper kumtia adabu Muthama kupitia mke waliyeachana

Na PIUS MAUNDU CHAMA cha Wiper kimepanga kumsimamisha mwanasiasa mwanasiasa Agnes Kavindu, aliyekuwa mke wa Seneta wa zamani wa...

Muthama na Koech wataka walipwe fidia baada ya kukamatwa

Na PHILIP MUYANGA ALIYEKUWA Seneta wa Machakos, Bw Johnstone Muthama na mbunge wa Belgut, Bw Nelson Koech, wanataka kulipwa fidia baada...

Wandani wa Ruto sasa wamuonya Murathe

SHABAN MAKOKHA na CHARLES WASONGA WANDANI wa Naibu Rais William Ruto wamemwonya Naibu Mwenyekiti wa Jubilee David Murathe dhidi ya...

Muthama aapa kuzima Kalonzo kisiasa 2022

WYCLIFF KIPSANG na GASTONE VALUSI CHECHE za maneno kati ya kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na aliyekuwa seneta wa Machakos,...

Wafaa kunishukuru, Muthama ajibu Kalonzo

Na GASTONE VALUSI SENETA wa zamani wa Machakos, Johnson Muthama, amejibu madai ya kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kuwa...

JAMVI: Ushirika mpya wa Muthama na Kibwana mwiba kwa Kalonzo

Na BENSON MATHEKA USHIRIKA mpya wa kisiasa kati ya aliyekuwa Seneta wa Machakos bwanyenye Johnson Muthama na Gavana wa Makueni, Prof...

Kibwana na Muthama wazika tofauti zao

BENSON MATHEKA na PIUS MAUNDU GAVANA wa Makueni Kivutha Kibwana na aliyekuwa seneta wa Machakos Johnson Muthama wamezika tofauti zao na...

Muthama amkashifu Raila kuhusu kura ya maamuzi

Na WANDERI KAMAU ALIYEKUWA Seneta wa Machakos, Bw Johnstone Muthama amemkashifu vikali kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga kwa kusisitiza...

Waliomwapisha Raila wajuta

Na VALENTINE OBARA WANDANI wa Kiongozi wa Chama cha ODM Bw Raila Odinga, ambao walikuwa katika mstari wa mbele kumwapisha kuwa ‘rais...