Muturi awaita wabunge tena kujadili mswada tata wa vyama vya kisiasa

Na CHARLES WASONGA SIKU moja baada ya wabunge wandani wa Naibu Rais William Ruto kufaulu kuchelewesha kupitishwa kwa Mswada tata wa...

Muturi aziba mwanya ambao wabunge hutumia kutafuna maelfu

Na CHARLES WASONGA SPIKA Justin Muturi ametoa amri kwamba ni wabunge saba pekee wataruhusiwa kusafiri maeneo mbalimbali nchini...

Kamati yapinga LSK kutaka bunge livunjwe

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Bunge kuhusu Haki na Masuala ya Sheria (JLAC), imepuuzilia mbali shinikizo za Chama cha Wanasheria Nchini...

Misingi ya vyama vya kisiasa sharti izingatiwe katika sheria na Katiba – Muturi

Na WANDERI KAMAU SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi amesema Alhamisi kuwa lazima misingi ya vyama vya kisiasa ikitwe katika Katiba...

BBI: Muturi azima ndoto ya Tangatanga

JUSTUS OCHIENG Na LEONARD ONYANGO WANASIASA wa kundi la Tangatanga wamepata pigo baada ya Spika Justin Muturi kusema kuwa hatakubali...

Muturi aagiza wabunge kuwaadhibu mawaziri wanaokosa kufika mbele yao

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi ameziagiza kamati mbalimbali kuchukua hatua kali dhidi ya mawaziri ambao...

Juhudi za kumng’oa Spika Muturi, Duale na Mbadi zaanza

Na WAANDISHI WETU WABUNGE waliowakaidi Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kuhusu Mswada wa Fedha wa 2018, sasa...

Spika aitisha ripoti ya wabunge waliozuru Urusi kutazama Kombe la Dunia

Na DAVID MWERE SPIKA wa bunge la taifa, Bw Justin Muturi, amewataka wabunge waliotumia pesa za umma kwenda Urusi kutazama Kombe la Dunia...

Jaji Kihara na Haji waidhinishwa na kamati ya bunge

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Bunge kuhusu Uteuzi (JLAC) imemwidhinisha Rais wa Mahakama ya Rufaa, Jaji (mstaafu) Paul Kihara Kariuki kuwa...

TAHARIRI: Heko Spika Muturi kukataa ombi tata

[caption id="attachment_2286" align="aligncenter" width="800"] Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi. Picha/ Maktaba[/caption] NA...