Chipukizi apania kufikia upeo wa Burna Boy

Na JOHN KIMWERE BAADA ya kukaa kimya ndani ya miaka minne iliyopita msanii ya kizazi kipya, Vincent Olsatima Athienta amerejea tena...

DJ anayetumia miguu kuburudisha Wakenya

Na PAULINE ONGAJI Amekiuka vizingiti sio tu vya kijinsia, bali pia kiafya na maumbile na kutimiza ndoto yake ya kufanya kazi kama...

MWANGI: Wanamuziki wakome kudhulumu wapamba ngoma za video

NA DAISY MWANGI KATIKA maeneo ya miji mikuu nchini kama Nairobi, Mombasa na Nakuru kuna wasichana wengi sana ambao hawana...

JOY WANGUI: Mwigizaji na DJ mtajika

Na JOHN KIMWERE ANATAMANI kuibuka kati ya waigizaji bora wa kike humu nchini na kimataifa miaka ijayo. Anaorodheshwa kati ya wasanii...

BURUDANI: Angiey Fresh alenga kuufikia ubora wa hali ya juu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF AMEPANIA kuinua kipaji chake cha uimbaji kufikia kiwango cha kimataifa apate kuinua jina la Kenya. Huyo si...

BURUDANI: Babu Tale kampongeza Sai Kenya kwa ufundi wake katika tasnia

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ANAJIVUNIA kwa kutambuliwa na kumvutia Babu Tale, meneja wa msanii mashuhuri Diamond Platnumz kwa kuiga wimbo wa...

RAHAB MWENDE: Ninafuata nyayo za Ruth Wamuyu katika usanii wa injili

Na JOHN KIMWERE ALIANZA kujituma katika masuala ya muziki wa injili akiwa na umri wa miaka 13 ambapo analenga kujituma kiume kuhakikisha...

MR BEE: Mmliki wa studio ya kunoa vipaji vya chipukizi

Na JOHN KIMWERE PENYE nia pana njia. Msemo huu unathibitishwa na vijana wengi tu ambao wamezamia kutekeleza shughuli mbali mbali katika...

JOSEPH MWANGI: Chipukizi aliyezindua mtindo mpya wa ‘Dabonge’

Na JOHN KIMWERE NI mwimbaji na produsa anayeibukia katika ulimwengu wa muziki wa burudani. Anasema anapania kujituma kwa udi na uvumba...

SANAA: Shamir afurahisha mashabiki kwa muziki wake wa mapigo ya reggae

Na MAGDALENE WANJA MSANII Abdallah Mohamed 'Shamir' ametambulika kwa wimbo wake wa hivi punde ujulikanao kama 'Me too' ambao una mapigo...

Jinsi Rais alivyowapelekea wanamuziki ‘minofu’ mazishini

Na MWANGI MUIRURI BAADA ya kulemewa kujipanga ili wazuru Ikulu kula nyama choma ya mbuzi walioahidiwa na Rais Uhuru Kenyatta mnamo...

Mlima Kenya wamwomboleza John DeMathew

NDUNG'U GACHANE na CHARLES WASONGA WAPENZI wa muziki wa Benga katika janibu za Mlima Kenya wanaomboleza kufuatia kifo cha mwanamuziki...