‘Mvua iliyopitiliza kiwango kuendelea kunyesha hadi Desemba 4’

Na CHARLES WASONGA IDARA ya Utabiri wa Hali ya Hewa imetangaza mvua iliyopitiliza kiwango itaendelea kushuhudiwa maeneo ya South Rift,...

Maafa zaidi

Na WAANDISHI WETU WAOKOAJI Jumapili waliendelea kusaka miili ya watu 22 wasiojulikana waliko, baada ya maporomoko ya ardhi yaliyoua watu...

TAHARIRI: Wahanga wa mkasa wa maporomoko Pokot wasaidiwe

NA MHARIRI Mkasa uliotokea Kaunti ya Pokot Magharibi ambapo watu 37 wanahofiwa kuzikwa na maporomoko ya ardhi usiku unasikitisha jinsi...

37 wazikwa hai

Na OSCAR KAKAI na BENSON MATHEKA Novemba 22 2019: Watu watatu wasombwa na maji katika visa viwili tofauti Mbooni, Makuen Oktoba 30...

Mvua iliyopitiliza kiwango yatarajiwa wiki hii – idara ya utabiri wa hali ya hewa

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wameonywa kujiandaa kwa mvua iliyopitiliza kiwango wiki hii kutokana na kiwango cha joto kuongezeka katika...

Hofu ya maafa mvua ikizidi maeneo mbalimbali nchini

BENSON MATHEKA na DIANA MUTHEU Mvua kubwa inayoendelea kunyesha sehemu kadhaa nchini imeathiri shughuli huku hofu ya kuzuka kwa maradhi...

Mvua yasababisha moto Hospitali Kuu ya Pwani

Na MISHI GONGO MTAFARUKU ulizuka kwa muda katika Hospitali Kuu ya Pwani mjini Mombasa, baada ya moto kuzuka kutoka kwa swichi kuu ya...

Jiandae kwa mvua kubwa mwezi huu

Na COLLINS OMULO IDARA ya Kitaifa kuhusu Utabiri wa Hali ya Anga (KMD), imewatahadharisha Wakenya kujiandaa kwa mvua kubwa zaidi mwezi...

Mvua yatarajiwa kwingi mtihani wa KCPE ukianza

Na WAANDISHI WETU MVUA inatarajiwa leo Jumatatu asubuhi katika maeneo mengi ya nchi wakati watahiniwa wa Mtihani wa Kitaifa wa Shule za...

Mvua iliyopitiliza kiwango imesababisha vifo vya zaidi ya watu 10, yasema idara husika

Na CHARLES WASONGA MVUA iliyopitiliza kiwango inayoendelea kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini imesabisha vifo vya zaidi ya watu 10...

Mvua iliyopitiliza kiwango yaendelea kushuhudiwa katika maeneo mengi nchini

Na FARHIYA HUSSEIN, ALEX NJERU na CHARLES WASONGA MVUA kubwa itaendelea kushuhudiwa nchini, imesema idara ya utabiri wa hali ya hewa,...

Mvua kubwa itaendelea kunyesha nchini – Idara

Na Siago Cece MVUA kubwa inaendelea kushuhudiwa katika maeneo tofauti nchini ikiwemo sehemu za Nairobi, Kisumu, Bonde la Ufa, Magharibi...