Mwalimu taabani kujifanya KDF

Na RICHARD MUNGUTI MWALIMU aliyejifanya kuwa afisa wa kijeshi wa cheo cha Captain ameshtakiwa kwa kumfuja mwanamke Sh1.3milioni akidai...

Walimu hatarini kukosa nyongeza ya mishahara

Na FAITH NYAMAI WALIMU kote nchini huenda wakakosa nyongeza ya kila mwaka ya mishahara yao pamoja na kupandishwa kwa baadhi ya vyeo...

Mwalimu ajitia kitanzi na kuacha ujumbe kushauri wanaume

Na GRACE GITAU Polisi wanachunguza kisa ambapo mwalimu wa shule ya upili Kaunti ya Kirinyaga alijitia kitanzi na kuacha ujumbe akishauri...

Walimu wafumaniwa lojing’i wakiwa na wanafunzi

Na JADSON GICHANA Maafisa wa Polisi eneo la Nyamache, Kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi kubaini kisa ambapo walimu wawili walidaiwa...

Mwalimu atupwa ndani kwa kujeruhi mwanafunzi nyeti

Na STEPHEN NJUGUNA POLISI katika Kaunti ya Nyandarua, wamemkamata mmoja wa walimu watatu ambao Alhamisi iliyopita walidaiwa kumpiga...

Mwalimu mstaafu apoteza kesi aliyopigania kwa miaka 19

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya rufaa imetupilia mbali kesi iliyosikizwa na majaji wengi zaidi ya mwalimu mstaaafu ambaye amepigania...

GWIJI WA WIKI: Mwalimu, mshairi na mwandishi chipukizi

Na CHRIS ADUNGO UANDISHI ni mali na rasilmali iliyo kubwa, bora na yenye thamani zaidi kuliko rasilmali zote duniani. Kuwa na umilisi wa...

GWIJI WA WIKI: Timothy Kinoti M’Ngaruthi

BIDII na maombi huandamana kwani imani bila matendo imekufa! Huu ndio ushauri wa Dkt Timothy Kinoti M’Ngaruthi - mwandishi, mtafiti,...