Wanaoshtakiwa kumuua mwanahabari kusalia ndani

Na RICHARD MUNGUTI Washukiwa wanne wanaodaiwa walimuua mtangazaji wa kituo cha Redio cha Pamoja FM kilichoko mtaa wa mabanda wa Kibra...

Familia ya mwanahabari aliyeuawa yafika kortini ifidiwe

Na Joseph Openda FAMILIA ya mwanahabari aliyeuawa miaka 17 iliyopita, William Munuhe, imewasilisha kesi mahakamani kuilazimisha serikali...

Simanzi kuu kufuatia kifo cha aliyekuwa mwandishi wa ‘Taifa Leo’

Na Charles Wanyoro SIMANZI imegubika jumuiya ya waandishi baada ya mmoja wao kutoka Meru, Bw Darlington Manyara, 29, kuaga dunia...

Spika Muturi aagiza wanahabari wapewe viti bungeni

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi Alhamisi amewaamuru wenyekiti na makarani wa kamati za bunge wahakikishe kuwa...

Msaidizi wa gavana ndani kwa kuteka nyara mwanahabari wa NMG

Na JUSTUS OCHIENG MAAFISA wa DCI Jumanne walimkamata Msaidizi wa Kibinafsi wa Gavana wa Kaunti ya Migori Okoth Obado, Michael Oyamo,...

Kesi ya Mwilu yavutia wanahabari kutoka kona zote za dunia

Na RICHARD MUNGUTI WANAHABARI wa humu nchini na kimataifa walifurika mahakama ya Milimani Nairobi Jumatano kufuata kesi aliyoshtakiwa...

Mwanahabari abubujikwa na machozi baada ya kuponea kusukumwa ndani

Na RICJARD MUNGUTI MWANAHABARI alidodokwa na machozi Jumatano kortini baada ya polisi kunyimwa fursa ya kumzuilia siku saba kuhusiana na...