MWANAMKE MWELEDI: Aweka kumbukumbu kuchaguliwa mbunge

Na KEYB ALIENDA kinyume na matarajio na kuwa mwanamke wa kwanza kutoka eneo la Kaskazini Mashariki kuchaguliwa mbunge. Sophia Abdi...

MWANAMKE MWELEDI: Mwanasayansi mtajika nchini

Na KEYB YEYE ni mmoja wa wanawake wa kwanza kujiunga na Chuo Kikuu cha Nairobi. Lakini mbali na kustawi katika elimu, alikuwa mstari...

MWANAMKE MWELEDI: Alijizolea heshima tele katika mapishi

Na KEYB KWA zaidi ya miongo miwili, alituletea kipindi cha mapishi cha 'Mke Nyumbani' kilichopeperushwa na Shirika la Habari la Kenya;...

MWANAMKE MWELEDI: Alikuwa malkia wa amani na mtatuzi mahiri wa migogoro

Na KEYB KWA miaka 15 alijulikana kutokana na jitihada zake za uanaharakati na vita dhidi ya ghasia za kiukoo. Bi Dekha Ibrahim Abdi,...

MWANAMKE MWELEDI: Alitikisa riadha akibeba Golden League Jackpot

Na KEYB YEYE ni mmoja wa wanawake wachanga zaidi kuwahi kuishindia Kenya nishani ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki. Sio hayo tu,...

MWANAMKE MWELEDI: Ametamba katika sayansi na ukufunzi

Na KEYB YEYE ni mmoja wa wanasayansi wa kwanza wa kike hapa Kenya na watetezi wa wanawake katika taaluma ya sayansi nchini. Aidha,...

MWANAMKE MWELEDI: Polisi wa kwanza wa kike nchini aliyevumisha uskauti kwa ari

Na KEYB ALIKUWA mmojawapo wa wanawake wa kwanza wa asili ya Kiafrika kujiunga na kikosi cha polisi. Aidha, Bi Elizabeth Nyaruai...

MWANAMKE MWELEDI: Aliweka historia kuwa Afisa Mkuu katika umri mdogo zaidi

Na KEYB JINA lake linatamba katika uwanja wa biashara na ujasiriamali huku jitihada zake zikitambuliwa sio tu humu nchini bali duniani...

MWANAMKE MWELEDI: Aliwahi kuvaa taji la malkia wa masumbwi

Na KEYB ALITAMBULISHA sio tu Kenya bali bara la Afrika katika ulimwengu wa masumbwi kwa upande wa akina dada. Japo huenda miongoni...

MWANAMKE MWELEDI: Jina lake hutikisa wanariadha duniani

Na KEYB JINA lake linapotajwa, ulimwengu wa riadha humu nchini na kimataifa sharti umvulie kofia. Sio mwingine bali ni Vivian Jepkemoi...

MWANAMKE MWELEDI: Sanaa inafanya avume ugenini

Na KEYB YEYE ni mmoja wa wanasanaa na wachongaji sanamu wazaliwa wa humu nchini ambao umaarufu wao umevuka mipaka hadi...

MWANAMKE MWELEDI: Mtangazaji mahiri si hapa nyumbani tu!

Na KEYB ATAKUMBUKWA kama kitambulisho cha Kenya katika shirika la habari la kimataifa la CNN ambapo alifanya kazi kama mtangazaji na...