MWANAMUME KAMILI: Maisha mazuri ni gharama, hamna vya dezo na bwerere

Na DKT CHARLES OBENE USIMAMIZI mbovu haujaanza vyuoni. Asili ya usimamizi duni umechipuka nyumbani na kwenye ofisi za umma...

MWANAMUME KAMILI: Ndoa thabiti ni msingi wa familia na jamii endelezi

Na DKT CHARLES OBENE LEO tunatia guu katika uchanganuzi wa suala tata la ndoa. Wangwana wamekwisha kutudokezea kwamba ndoa thabiti...

MWANAMUME KAMILI: Kama lazima kumla mtu jamani msile muda wake

  Na DKT CHARLES OBENE MZEE mmoja alishangaza wanakijiji mtaani kwetu alipofika kumtwaa mwanawe. Binti alikuwa keshasema...

MWANAMUME KAMILI: Mume kamili hawezi kumtoa uhai mkewe

Na DKT CHARLES OBENE MWANAMUME kamili hawezi kumtoa mwenza uhai kama njia ya kudhihiri ndiye mume. Badala yake husimama wima kama...

MWANAMUME KAMILI: Usijitie zuzu, tia bidii kujua yanayomhusu mke wako

Na DKT CHARLES OBENE MNAOJITUMA kufa kupona wenzenu kuwapa nafsi na moyo vilevile, sikateni tamaa wala kushika tama na kusononeka kwa...

MWANAMUME KAMILI: Ukipenda ama kupendwa jamani sichezee mapenzi!

Na DKT CHARLES OBENE LEO ni leo wala hakuna cha kesho ama keshokutwa. Mapenzi hayajandikwa kwenye kitabu cha kiada wala mtaala wa...

MWANAMUME KAMILI: Lau wangalijua utamu wa kuvivalia viatu chaguo lao!

Na DKT CHARLES OBENE KUNA rafiki yangu msumbufu aliyenipigia simu akitaka kujua kilicho cha thamani mno kati ya hivi viwili; kiatu...

MWANAUME KAMILI: Haiwezekani kushiriki uovu ukaepuka dosari!

NA OBENE AMUKU Hatuna budi kuchukua hatua zifaazo kubadili maisha yetu hasa akina sisi tunaolalamika juu ya wengine. Nakumbuka vyema...

MWANAMUME KAMILI: Ole nyinyi mliosikiliza na kusadiki ‘hekima ya kondoo’

Na DKT CHARLES OBENE NITAANZA kwa hadithi fupi juu ya ‘hekima ya kondoo!’ Asubuhi moja, kondoo alitaka kujua kutoka kwa bwana...

MWANAMUME KAMILI: Karibu kijiweni tuwakemee wanaotafuta “kulikopikwa”

Na DKT CHARLES OBENE KAULI kwamba wanaume wa leo “wanabahatisha tu maisha” imevuma kwenye midomo ya vimwana kwa muda. Sijui kama...

MWANAMUME KAMILI: Kipungu hawezi kuenda safari moja na mwewe!

Na DKT CHARLES OBENE MWANZONI mwa wiki hii nikiwa safarini, nilibahatika kudakia mazungumzo yaliyojiri kwenye mjadala uliopeperushwa...

MWANAMUME KAMILI: Heri maisha ya upweke kuliko kunichoma moyo

Na CHARLES OBENE KUKOSEWA heshima kwaweza kumkeketa mtu maini sisemi kumpagaza wazimu. Heshima ndio nguo inayostiri hadhi ya mja....