Mwilu alalamikia rundo la kesi kortini

Na RUSHDIE OUDIA KAIMU Jaji Mkuu, Philomena Mwilu, ameelezea kutamaushwa kwake na kuongezeka kwa kesi ambazo hazijasikizwa...

Jaji aliyemzima Mwilu amrudisha kuwa Kaimu Jaji Mkuu

Na RICHARD MUNGUTI KAIMU Jaji Mkuu Philomena Mbete Mwilu amerudishwa kazini baada ya Mahakama Kuu ya Meru kusitisha maagizo iliyotoa...

Kutimuliwa kwa kaimu Jaji Mkuu Philomena Mwilu kuna athari kadha

Na CHARLES WASONGA AGIZO la Mahakama Kuu ya Meru kwamba Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu ni sharti akome kuhudumu kama Kaimu Jaji Mkuu...

Mwilu mwanamke wa kwanza kuteuliwa kaimu Jaji Mkuu

Na RICHARD MUNGUTI NAIBU wa Jaji Mkuu Philomena Mbete Mwilu ndiye jaji mwanamke wa kwanza katika historia ya nchi kuteuliwa kuwa kaimu...

Afueni kwa Jaji Mwilu kesi ya kumtimua ikisitishwa

Na RICHARD MUNGUTI NAIBU Jaji Mkuu Philomena Mwilu alipata afueni Ijumaa Mahakama Kuu ilipozima hatua ya Tume ya Kuajiri Watumishi wa...

Mahakama yazima JSC kuchunguza Jaji Mwilu

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu, IJumaa imezuia hatua ya Tume ya Huduma ya Mahakama (JSC) kuanza kusikiza ombi la kutaka Naibu Jaji Mkuu...

Kesi ya Jaji Mwilu yajikokota Maraga akikaribia kustaafu

WANJOHI GITHAE na IBRAHIM ORUKO TUME ya Huduma za Mahakama (JSC) bado haijasikia kesi nne dhidi ya Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu,...

Wakili kutoka Uingereza aruhusiwa kuongoza mashtaka dhidi ya Mwilu

Na RICHARD MUNGUTI MAJAJI watano wa mahakama kuu Alhamisi walimruhusu wakili kutoka Uingereza Profesa Khawar Qureshi kuongoza kesi ya...

KESI YA MWILU: Mwanasheria wa Uingereza apigwa breki

Na RICHARD MUNGUTI MAJAJI watano wa Mahakama kuu wamemzuia mtaalam wa masuala ya kisheria kutoka Uingereza (QC) Profesa Khawar Qureshi...

Jopo lateuliwa kupima mamlaka ya DPP

Na RICHARD MUNGUTI KATIKA historia ya nchi hii hakuna jaji amewahi kamatwa na kushtakiwa kabla ya kuhojiwa na tume ya kuajiri idara ya...

Kesi ya Mwilu kuamuliwa na majaji watatu

Na RICHARD MUNGUTI HATIMA ya kesi ya kushtakiwa kwa na ufisadi kwa Naibu wa Jaji Mkuu (DCJ) Philomena Mwilu sasa iko mikononi mwa majaji...

Juhudi za Naibu DPP kuhusu kesi ya Mwilu zaambulia pakavu

Na RICHARD MUNGUTI JARIBIO la naibu wa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Bi Dorcus Oduor la kutaka agizo linalozuia kushtakiwa kwa...