KAULI YA MATUNDURA: Nilivyomrai Prof Senkoro kuitoa upya riwaya yake ya ukombozi ya Mzalendo iliyochapishwa na Shungwaya 1977

Na BITUGI MATUNDURA HIVI majuzi, katika pekuapekua ya maktaba yangu, nilipata riwaya ya Mzalendo (Shungwaya Publishers, 1977)...