Kaunti ya Nairobi yaanzisha mfumo mpya wa kulipia huduma

Na COLLINS OMULO WAKAZI wa Nairobi wataanza kutumia mfumo mpya wa kulipia huduma za Kaunti ya Nairobi ulioanzishwa Jumamosi. Maafisa...

Mchakato kusaka Naibu Gavana wa Nairobi waanza

Na COLLINS OMULO JUHUDI za kumtafuta yule atakayehudumu kama Naibu Gavana katika Kaunti ya Nairobi zinaendelea kushika kasi, huku Bi Ann...

Wakazi wa Nairobi walia Krismasi imekuwa ‘kavu’

Na SAMMY WAWERU Mabustani na majumba ya maduka ya jumla mbalimbali jijini Nairobi na viunga vyake siku ya Krismasi yalikuwa yenye...

Badi aapa kuwakabili wanaotatiza kazi jijini

Na WANDERI KAMAU MKURUGENZI Mkuu wa Idara ya Huduma za Jili la Nairobi (NMS), Meja Jenerali Mohamed Badi, amesema anafahamu mwenyewe...

Utatupwa ndani miezi 6 ukinaswa ukitema mate ovyo jijini Nairobi

COLLINS OMULO na JAMES MURIMI MTU yeyote atakayepatikana akitema mate kwenye barabara ama kupenga kamasi bila kutumia kitambaa jijini...

JUBILEE: Tuju athibitisha kikao cha Rais Kenyatta na maseneta Ikuluni Jumatatu

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Jubilee Raphael Tuju amethibitisha kuwa maseneta wa chama hicho wamealikwa na Rais Uhuru Kenyatta kwa...

Jiji la Nairobi lingali chafu chini ya usimamizi mpya

Na CHARLES WASONGA ATHARI za hatua ya majuzi ya Gavana wa Kaunti ya Nairobi Mike Sonko kudinda kuidhinisha mgao wa Sh15 bilioni kwa...

CORONA: Huenda serikali ikafunga jiji la Nairobi

Na JUMA NAMLOLA SERIKALI Alhamisi ilitoa ishara kuwa huenda ikalazimika kufunga shughuli zote katika kaunti ya Nairobi, kama njia ya...

Ofisi ya ustawishaji jiji la Nairobi yabuniwa

Na SAMMY WAWERU MAJUKUMU muhimu ya serikali ya Kaunti ya Nairobi yameelekezwa kwa ofisi mpya na maalum iliyobuniwa ili kustawisha jiji...

Serikali kuu kusimamia Nairobi hadi 2022

Na JAMES KAHONGEH MAELEWANO kati ya Gavana wa Nairobi Mike Sonko na Serikali Kuu kuhusu usimamizi wa kaunti hiyo yamepangiwa kuanza...

Utwaaji wa serikali ya Nairobi huenda usilete nafuu

Na BENSON MATHEKA HATUA ya serikali ya kitaifa ya kutwaa majukumu muhimu ya serikali ya kaunti ya Nairobi huenda isilete mabadiliko...

Sonko atimua kaimu katibu

Na COLLINS OMULO GAVANA wa Nairobi anayekabiliwa na kesi kortini, Mike Sonko amemwachisha kazi Kaimu Katibu wa Kaunti, Bw Leboo...