Gavana Nanok abanwa kwa kutotumia Sh3.7b za kaunti

Na CHARLES WASONGA MASENETA wamempa Gavana wa Turkana Josephat Nanok wiki mbili aeleze sababu za serikali yake kutotumia Sh3.7 bilioni...

Viongozi wataka Turkana igawanywe mara mbili

Na SAMMY LUTTA VIONGOZI wa Kaunti ya Turkana wametangaza kuwa wanaunga Mpango wa Maridhiano (BBI) huku wakipendekeza kaunti hiyo...

Gavana Nanok kuwaadhibu wafanyakazi wazembe wanaokwama mitandaoni

Na SAMMY LUTTA GAVANA wa Turkana, Josphat Nanok, ametishia kuwaadhibu wafanyakazi wa kaunti wanaopoteza wakati katika mitandao ya...

Magavana waomba wasikamatwe kwa ufisadi

Na VALENTINE OBARA MAGAVANA wanataka wasiwe wakikamatwa wanapohusishwa na kashfa za ufisadi kwa sababu mamlaka yao yanastahili...

TAHARIRI: Magavana waelezane ukweli kwenye kongamano

Na MHARIRI KILA mwaka, magavana hukutana kwenye kongamano la kutathmini hatua walizopiga tangu ugatuzi uanze rasmi mwaka 2013. Mwaka...