AKILIMALI: Miaka 20 akizalisha ndizi, zina mapato ila Covid nusra imvuruge

Na SAMMY WAWERU HANNAH Njoki amekuwa katika kilimo cha ndizi kwa zaidi ya miaka 20 na anakiri ni zao lenye mapato ya...

LISHE: Ndizi na viazi

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MATOKE ni chakula chenye asili ya kiganda. Hata hivyo, wanavyopika raia wa Uganda na...

ULIMBWENDE: Ndizi na urembo

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MBALI na kuliwa, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi. Ndizi zina...

Kiwanda cha kuongezea ndizi thamani Kisii

Na RICHARD MAOSI UKIZURU Kaunti ya Kisii, utaona ni sehemu ambayo wakulima wengi wanajivunia zao la ndizi. Baina ya milima na mito,...

VINYWAJI: Jinsi ya kuandaa ‘smoothie’ ya papai na ndizi

Na DIANA MUTHEU dmutheu@ke.nationmedia.com Muda wa kuandaa: Dakika 5 Vinavyohitajika Papai ½ Ndizi 1 Maziwa glasi 1 ...

LISHE: Ndizi

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa kupika: Dakika 30 Walaji:...

AKILIMALI: Ndizi ni uwekezaji wa maana, panda kwa wingi

Na JOHN NJOROGE njorogejunior@gmail.com Kwa safari ya kilomita 10 kutoka kituo cha magari cha Cheponde katika barabara ya Molo-...

AKILIMALI: Vijana wabuni ajira kwa kusaga unga wa ndizi

Na PETER CHANGTOEK CHINI ya umbali wa kilomita moja kutoka katika soko la Muthinga, katika wadi ya AguthiGaaki, kwenye uga wa chuo cha...

AKILIMALI: Kilimo cha ndizi ni chenye manufaa tele

Na SAMMY WAWERU KATIKA shamba la Lucy Muriithi, tunakaribishwa na rangi ya kijani cha migomba. Kuna inayozalisha ndizi, mingine inachana...

AKILIMALI: Alienda Mombasa kusaka ajira lakini akageuka mkulima mahiri wa ndizi

Na HASSAN POJJO na LUDOVICK MBOGHOLI HAMISI Bakari, 41, ni mzaliwa wa Matungu katika kijiji cha Namasanda huko Mumias, eneo la Magharibi...

AKILIMALI: Alifanya hesabu; ndizi zamlipa kuliko mahindi

Na PAULINE ONGAJI KATIKA jamii nyingi Magharibi mwa Kenya, ndizi ni mojawapo ya mimea muhimu ambapo ni nadra kuingia katika boma la...

USHAURI: Kuwa makini unaponunua ndizi ili kuepuka zilizoivishwa kwa kemikali

Na SAMMY WAWERU ILI kuwa mwenye siha bora, wataalamu wa afya wanahimiza kula chakula chenye madini kamilifu. Madini muhimu kwenye...