Neymar na Mbappe wabeba PSG dhidi ya Bordeaux ligini

Na MASHIRIKA NEYMAR alifunga mabao mawili na kusaidia waajiri wake Paris Saint-Germain (PSG) kunyanyasa Bordeaux 3-2 katika Ligi Kuu ya...

Barcelona na Neymar waafikiana kusuluhisha mzozo wa kifedha nje ya korti

Na MASHIRIKA BARCELONA wameafikiana na mshambuliaji Neymar Jr kusuluhisha mzozo wa kifedha kati yao nje ya mahakama. Neymar ambaye ni...

Brazil waanza vyema kampeni za Copa America kwa kucharaza Venezuela 3-0

Na MASHIRIKA WENYEJI Brazil walianza kutetea ubingwa wa Copa America mnamo Jumapili usiku kwa kuwakung’uta Venezuela 3-0 katika uwanja...

FRENCH CUP: PSG yaingia nusu-fainali baada ya kuponda Angers 5-0

Na MASHIRIKA FOWADI Mauro Icardi alifunga mabao matatu na kusaidia waajiri wake Paris Saint-Germain (PSG) kuwakomoa Angers 5-0 uwanjani...

Pochettino kushawishi PSG kurefusha mikataba ya Neymar na Mbappe kabla ya kusajili Lloris, Alli na Eriksen

Na MASHIRIKA MKUFUNZI Mauricio Pochettino amesema kubwa zaidi katika malengo atakapotwaa mikoba ya Paris Saint-Germain (PSG) ni...

Wanasoka saba waliokosea kuondoka Barcelona wakiwemo Neymar na Bravo

Na CHRIS ADUNGO LIONEL Messi si supastaa wa kwanza wa Barcelona kuwahi kufichua azma ya kuondoka uwanjani Camp Nou kwa matumaini ya...

Neymar kurejea uwanjani kusakatia PSG mnamo Januari 2021 baada ya kupona jeraha

Na MASHIRIKA FOWADI matata wa Paris Saint-Germain (PSG) na timu ya taifa ya Brazil, Neymar Jr anatarajiwa kurejea uwanjani kusakata soka...

PSG na Basaksehir kurudiana baada ya mechi ya Jumanne kuvurugwa na tukio la ubaguzi wa rangi

Na MASHIRIKA MECHI ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kati ya Paris Saint-Germain (PSG) na Istanbul Basaksehir sasa itaendelezwa usiku wa...

Neymar kukaa nje katika mechi tatu zijazo zitakazopigwa na PSG

Na MASHIRIKA NYOTA Neymar Jr sasa atakosa mechi tatu zijazo zitakazopigwa na waajiri wake Paris Saint-Germain (PSG) baada ya kupata...

Neymar afunga mawili na kusaidia PSG kuponda Angers 6-1

Na MASHIRIKA MFUMAJI Neymar Jr alifunga mabao mawili na kuwaongoza waajiri wake Paris Saint-Germain (PSG) kuwapepeta Angers 6-1 katika...

Neymar na wachezaji wengine 4 walishwa kadi nyekundu PSG ikizikwa na Merseille

Na MASHIRIKA NEYMAR Jr alikuwa miongoni mwa wanasoka watano walioonyeshwa kadi nyekundu mwishoni mwa mechi ya Ligi Kuu ya Ufaransa...

Babaye Neymar sasa kulishwa urojo na mwanamitindo Franciely Freduzeski

Na CHRIS ADUNGO SANTOS Snr ambaye ni babaye mzazi mchezaji ghali zaidi duniani, Neymar Jr, amejinasia penzi la mwigizaji na mwanamitindo...