Mbunge wa Mavoko asikitika mahakama kuzima CDF

NA SAMMY KIMATU MBUNGE wa Mavoko, Bw Patrick Makau amesikitika kwamba Mahakama ya Juu ilitoa uamuzi wa kuzima Hazina ya Maendeleo ya...

Wabunge wa maeneo kame wataka NG-CDF zaidi

Na SAMMY LUTTA WABUNGE wawili kutoka Kaunti ya Turkana wamependekeza kubadilishwa kwa mfumo wa ugavi wa fedha za Hazina ya Ustawi wa...

Wabunge wavuruga shughuli bungeni wakilalamikia kuchelewa kwa NG-CDF

Na CHARLES WASONGA WABUNGE Alhamisi alasiri walivuruga shughuli za bunge wakilalamikia hatua ya Hazina ya Kitaifa kuchelewesha utoaji wa...

Wabunge wataka CDF iongezwe kujenga madarasa

Na MACHARIA MWANGI WABUNGE wameshinikiza serikali iongeze mgao wa fedha za Hazina ya Kitaifa ya Ustawishaji Maeneobunge (NG-CDF)...

CDF: Wabunge 14 wamulikwa kuhusu Sh1 bilioni

Na DAVID MWERE KWA mara nyingine wabunge 14 wamejipata pabaya kuhusiana na matumizi mabaya ya zaidi ya Sh1 bilioni, fedha za hazina ya...

Eneobunge la Thika latambulika kutumia NG-CDF kwa uwazi

Na LAWRENCE ONGARO ENEOBUNGE la Thika limetangazwa rasmi na kujinyakulia tuzo ya matumizi bora ya fedha katika maendeleo za kutoka mfuko...