Dhuluma za ngono zinavyotatiza utalii

Na WAANDISHI WETU KESI ya mfanyabiashara Asif Amirali Alibhai Jetha, ambaye alihukumiwa miaka 30 gerezani, imezidi kufichua jinsi...

DOUGLAS MUTUA: Mnyanyaso wa ngono kazini ukabiliwe

Na DOUGLAS MUTUA SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limeapa kuwaadhibu maafisa wake waliowanyanyasa wanawake kimapenzi katika Jamhuri ya...

Naibu chifu afumaniwa akishiriki ngono na mwanafunzi

Na BRIAN OJAMAA WANANCHI wenye ghadhabu katika soko la Cheptais, eneobunge la Mlima Elgon, Kaunti ya Bungoma, nusura wamchome naibu wa...

DHULUMA ZA KIMAPENZI: Serikali yaitia adabu Homeboyz Radio

Na MARY WANGARI MAMLAKA ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imechukua hatua za kinidhamu dhidi ya kampuni inayomiliki kituo cha Homeboyz Radio...

Makamu wa Rais Zimbabwe ajiuzulu kuhusu video ya ngono

Na AFP Tafsiri: Charles Wasonga HARARE, Zimbabwe MAKAMU wa Rais wa Zimbabwe Kembo Mohadi alijiuzulu Jumatatu kwa kuhusishwa na...

Video za ngono zihalalishwe mitandaoni – AKS

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Wasiomwamini Uwepo wa Mungu Nchini (AKS) kimepuuzilia mbali mswada unaoharamisha usambazaji wa video, picha...

TAHARIRI: Mswada wa Duale usipingwe ovyo

NA MHARIRI PENDEKEZO la Mbunge wa Garissa Mjini, Bw Aden Duale, kwamba kuwe na sheria itakayotoa adhabu kali kwa utengenezaji na...

Duale azimwa kuandaa mswada wa kuzima ngono mitandaoni

Na CHARLES WASONGA WAKENYA wengi katika mitandao ya kijamii, wamemkashifu Mbunge wa Garissa Mjini, Aden Duale kwa kupendekeza mswada...

Wakongwe wanavyoangamia wakimumunya raha ya dunia

NA WANGU KANURI WAKENYA wanazidi kushangazwa na wazee waliokonga wanapozidi kuiaga dunia katika anasa za dunia, wakilemewa na kazi...

Kiini cha kufifia kwa nguvu za kufanya mapenzi

Na LEONARD ONYANGO WENGI wa wanaume walio na tatizo la nguvu za kiume hupendelea kusalia kimya kwani huona aibu kulizungumzia au kwenda...

Dawa bandia za hamu ya mapenzi zinavyohatarisha maisha ya wanaume

NA PAULINE ONGAJI   WANAUME humu nchini wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa kutumia kiholela dawa za kuongeza hamu ya mapenzi...

Mswada wa afya ya uzazi waendelea kuibua cheche

Na CHARLES WASONGA MAAKOFU wa Kanisa Katoliki wametofautiana na wanachama wa makundi ya kijamii watetea haki za afya ya uzazi...