Mwendwa kushtakiwa jumaa tatu

Na RICHARD MUNGUTI RAIS wa Shirikisho la Kandanda Nchini (FKF) Nick Mwendwa aliyekamatwa Ijumaa atashtakiwa Jumatatu kwa ubadhirifu wa...

Mwendwa aponea ila hatarejea afisini FKF

RICHARD MUNGUTI na JOHN ASHIHUNDU MKURUGENZI wa mashtaka ya umma (DPP) hakumfungulia mashtaka rais wa shirikisho la kandanda nchini...

Mna siku 7 kumshtaki Mwendwa, korti yaagiza

RICHARD MUNGUTI na JOHN ASHIHUNDU MAHAKAMA imempa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji siku saba amfungulie mashtaka ya...

Mwendwa aachiliwa kwa dhamana ya Sh4Milioni pesa taslimu

Na RICHARD MUNGUTI Rais wa Shirikisho la Kandanda Nchini (FKF), Nick Mwendwa amepata afueni baada ya kuachiliwa kwa dhamana ya Sh4...

Mwendwa aagizwa ajitenge na soka baada ya kuachiliwa

RICHARD MUNGUTI na JOHN ASHIHUNDU RAIS wa Shirikisho la Kandanda Nchini (FKF), Nick Mwendwa amepata afueni baada ya kuachiliwa kwa...

Madai ya usimamizi mbaya, ubadhirifu FKF ni pigo kwa michezo nchini

Na GEOFFREY ANENE KATIBU wa Shirikisho la Mpira wa Magongo Kenya (KHU) Wycliffe Ongori anasema kesi zinazokabili viongozi wa Shirikisho...

Rais akamatwa

Na RICHARD MUNGUTI RAIS wa Shirikisho la Kandanda Nchini (FKF) alikamatwa muda mfupi baada ya Mahakama kuu ya Milimani kukataa kusitisha...

Majagina wamtaka Mwendwa agure FKF

Na JOHN ASHIHUNDU WALIOKUWA wachezaji wa kimataifa wanataka maafisa wa Shirikisho la Soka Nchini (FKF) wakae kando baada ya madai kwamba...

Mwendwa aidhinishwa kuwania nafasi ya haiba katika Baraza Kuu la FIFA

Na CHRIS ADUNGO RAIS wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), Nick Mwendwa, ameidhinishwa na Shirikisho la Soka Kimataifa kuwania mojawapo...

Kocha wa Western Stima asema Omala yuko huru kuhamia timu nyingine

Na CECIL ODONGO KOCHA wa Western Stima Salim Babu amesema hatamzuia mshambuliaji nyota wa klabu hiyo Benson Omala kuhama huku mwanasoka...

Mwendwa kikaangioni kuhusu mamilioni ya Afcon 2019

Na CHRIS ADUNGO RAIS wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), Nick Mwendwa alishinda katika makao makuu ya Idara ya Upelelezi wa Jinai...