Mombasa Cement na NMG zashirikiana kuinua elimu Kilifi kupitia mradi wa NiE

Na WACHIRA MWANGI SHULE kadhaa katika Kaunti ya Kilifi zimepongeza ushirikiano kati ya Shirika la Habari la Nation (NMG) na Kampuni ya...

Mradi wa NiE ni lulu inayowaniwa Shuleni Sangenyi, Taita Taveta

NA CHRIS ADUNGO SHULE ya Msingi ya Sangenyi katika Kaunti ya Taita- Taveta ni miongoni mwa shule nyingi za humu nchini ambazo kwa sasa...

HAMASISHO LA NiE NYANJANI: Shule ya Radiance Academy, Nakuru

Na PHYLIS MUSASIA na KEVIN ROTICH MFUMO mpya wa elimu; 2-6-6-3 katika kaunti ya Nakuru tayari unaonekana umeanza kuzaa matunda katika...