Watekaji nyara wamnyaka mzee aliyewapelekea Sh7m

Na MASHIRIKA ABUJA, NIGERIA WATEKAJI nyara Jumapili walimkamata mtu ambaye alikuwa ametumwa kuwasilisha ngawira - malipo kwa mtekaji...

Wanafunzi 3 wa chuo kikuu waliotekwa nyara wauawa

Na AFP LAGOS, Nigeria WANAFUNZI watatu waliotekwa nyara wameuawa kwa kupigwa risasi na wahalifu, afisa mmoja wa serikali ya Nigeria...

Wasomi 29 hatarini kuuawa na majambazi waliowateka nyara

Na MOHAMMED MOMOH Mwandishi wa Nation, Afrika Magharibi LAGOS, NIGERIA WAFUASI wa genge moja la wahalifu wametisha kuwaua...

Pasta auawa kwa tuhuma za wizi wa nyeti za wanaume

Na AFP DAUDU, Nigeria AMRI ya kutotoka nje imetengazwa sehemu kadha za jimbo la Benue kufuatia kisa ambapo pasta mmoja aliuawa na...

Polisi nchini Nigeria waanza operesheni ya kuwasaka wahalifu

Na MASHIRIKA LAGOS, NIGERIA POLISI wa Nigeria wamesema wameanza msako wa kupambana na wahalifu kote nchini humo ili kuimarisha...

Wakuu wa maandamano wadai serikali inawawinda

Na MASHIRIKA ABUJA, Nigeria VIONGOZI wa maandamano ya kulalamikia ukatili wa maafisa wa polisi nchini Nigeria, wamehimiza raia kukaa...

Polisi lawamani kwa mauaji ya waandamanaji Jumanne

Na AFP ABUJA, Nigeria VIKOSI vya usalama nchini Nigeria vimedaiwa kuwaua waandamanaji kadhaa mnamo Jumanne, yalisema mashirika ya...

Ni mwenye nguvu nipishe The Eagles wakiwania 3-bora

Na MASHIRIKA CAIRO, Misri JUMATANO, Julai 17, 2019, itakuwa ni zamu ya Super Eagles ya Nigeria na Carthage Eagles ya Tunisia...

Nigeria, Algeria katika gozi la nguo kuchanika

Na MASHIRIKA CAIRO, Misri Baada ya kuwabandua Ivory Coast 4-3 kupitia kwa mikwaju ya penalti Alhamisi usiku, Algeria wanaopigiwa...

AFCON 2019: Nigeria na Misri zafuzu mapema

Na MASHIRIKA CAIRO, Misri NIGERIA na wenyeji Misri zilikuwa timu za kwanza kufuzu kwa hatua ya 16 Bora ya AFCON baada ya kuandikisha...

Nigeria kuingia uwanjani dhidi ya limbukeni Burundi mechi ya ufunguzi Kundi B

Na MASHIRIKA CAIRO, Misri NIGERIA watajibwaga uwanjani saa mbili usiku Jumamosi katika uwanja wa Alexandria dhidi ya limbukeni...

Nigeria wasadiki ubingwa wa AFCON mara hii ni wao

Na CHRIS ADUNGO NAHODHA wa zamani wa Super Eagles ya Nigeria, Joseph Yobo anaamini miamba hao wa soka wana kila sababu ya kutawazwa...