Nishati ya jua kusaidia kuimarisha uzalishaji wa maua Thika

NA LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya maua ya Simbi Roses Ltd eneo la Thika, kaunti ya Kiambu, imeweka mtambo mpya wa nishati ya jua...

Kawi ya jua inavyoboresha maisha ya wakazi wa mashambani

 NA RICHARD MAOSI Jeniffer Achieng anatumia kiti chake kufikia paneli za kawi ya jua, zilizowekwa kwenye paa la nyumba yake. Akiwa...

Mfadhili wa nishati ya upepo Lamu atisha kujiondoa

NA KALUME KAZUNGU MFADHILI mkuu wa mradi wa nishati ya upepo, Kaunti ya Lamu ametisha kujiondoa katika kutekeleza mradi huo kutokana na...

LAMU: Waapa kupiga vita mradi mkubwa wa nishati ya makaa

Na KALUME KAZUNGU WATETEZI wa mazingira, viongozi wa kidini na baraza la wazee katika Kaunti ya Lamu wameahidi kuendelea na shinikizo za...

Wakulima wakerwa na serikali kuwacheleweshea fidia

Na KALUME KAZUNGU WAKULIMA karibu 600 wa eneo ambako mradi wa nishati ya makaa ya mawe unanuiwa kujengwa kijijini Kwasasi, Kaunti ya...

NISHATI YA UPEPO: ERC yakubalia kampuni ya Ubelgiji kuanza kazi Lamu

NA KALUME KAZUNGU TUME ya Kudhibiti Kawi nchini (ERC) hatimaye imepitisha ujenzi wa mradi wa nishati ya upepo katika eneo la Baharini,...

Tusipohusishwa tutasambaratisha mradi wa makaa, viongozi na wakazi watisha

NA KALUME KAZUNGU VIONGOZI na wakazi wa eneo kunakonuiwa kujengwa mradi wa nishati ya makaa ya mawe kaunti ya Lamu wametisha kulemaza...

Mbunge afokea wanaopinga mradi wa nishati ya makaa Lamu

Na KALUME KAZUNGU MBUNGE wa Lamu Mashariki, Athman Sharif, amewataka wakazi wa Lamu wanaopinga kuanzishwa kwa mradi wa nishati ya makaa...