Wakazi wakeketwa na njaa mifugo ikizidi kuangamia

Na WAANDISHI WETU FAMILIA katika kaunti zinazokumbwa na ukame zinaendelea kuathiriwa na njaa na kiu tangu Rais Uhuru Kenyatta atangaze...

Njaa: UN yaahidi Sh13b kusaidia waathiriwa

GEORGE MUNENE na BARNABAS BII UMOJA wa Mataifa (UN) umeahidi kutoa Sh13 bilioni kusaidia watu milioni 2 wanaokabiliwa na janga la njaa...

Njaa: Serikali kuanza kusambaza mlo, maji

Na WINNIE ATIENO SERIKALI kuu itaanza kuwapa msaada wa chakula na maji wanaoathiriwa na njaa kuanzia wiki ijayo, ili kuokoa maisha baada...

CHARLES WASONGA: Serikali izuie wizi wa vyakula vya misaada kwa wahanga wa ukame

Na CHARLES WASONGA BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kutangaza ukame kuwa janga la kitaifa, kuna uwezekano mkubwa kwamba mashirika mbalimbali...

Wanafunzi wazimia shuleni kwa njaa

Na KENYA NEWS AGENCY HOFU ilitanda katika Shule ya Msingi ya Kalimamundu, Kaunti Ndogo ya Kyuso, Kaunti ya Kitui, baada ya wanafunzi...

Raia wafa njaa viongozi wakipiga domo

Na WAANDISHI WETU WAKENYA kadha katika Kaunti ya Samburu wamefariki kwa kukosa chakula na maji kufuatia ukame unaokumba kaunti 12 za...

Jiandaeni kwa kiangazi na njaa, shirika laonya

Na CHARLES WASONGA SHIRIKA la Utabiri wa Hali ya Anga limeonya kuwa hali ya kiangazi itashuhudiwa maeneo kadha nchini huku likiongeza kuwa...

Wakazi wa Lamu walia makali ya njaa, kiu

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 2,000 wa vijiji vya Pandanguo, Jima na Madina katika Kaunti ya Lamu wanakabiliwa na baa la njaa na...

Wanaokabiliwa na njaa wasajiliwa ili wasaidiwe

KNA na MAUREEN ONGALA Mamlaka ya Taifa ya kukabiliana na Ukame (NDMA), jana ilianza kuwasajili watu wanaokabiliwa na njaa Kaunti ya Tana...

Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwana baa la njaa – Ripoti

Na STELLA CHERONO WATU milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa nchini Kenya, idadi ambayo ni maradufu ya idadi iliyoripotiwa mnamo 2020,...

Tisho la baa la njaa kutokana na ukosefu wa maji Lamu

NA KALUME KAZUNGU UHABA wa maji unaokumba vijiji vingi vya kaunti ya Lamu umewasukuma wakazi wengi kulala njaa katika wiki za hivi...

Asilimia 24 ya Wakenya hatarini kufa njaa

Na BENSON MATHEKA KENYA imeorodheshwa ya 84 miongoni mwa nchi 107 ulimwenguni ambazo raia wake wanakabiliwa na hali hatari ya...