Nkana FC anayochezea Mkenya Abuya yaendea muujiza dhidi ya Pyramids soka ya CAF

Na GEOFFREY ANENE NKANA inayoajiri Mkenya Duke Abuya inatarajiwa kupata mtihani mkali itakapofungua mechi zake za makundi za Kombe la...