Waliofuja pesa NSSF wapatikana na hatia ya ulaghai wa Sh1.4 bilioni

NA RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA meneja wa uwekezaji katika Hazina ya Kitaifa ya Mafao ya Uzeeni (NSSF) na wafanyakazi watatu wa kampuni ya...

Polisi kizimbani kwa kumumunya mamilioni ya NSSF

Na RICHARD MUNGUTI MAAFISA wakuu wawili wa polisi akiwamo naibu wa afisa msimamizi wa Kituo cha Polisi cha Narok (OCS) walishtakiwa...

Karangi atolewa kijasho wanachama wa bodi ya NSSF kukwepa kikao na PIC bungeni

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Bodi ya wasimamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii na Mafao (NSSF) Julius Karangi alikabiliwa...

Cotu kusukuma kuteuliwa kwa mkuu wa NSSF

Na MAGDALENE WANJA MUUNGANO wa kitaifa wa vyama vya wafanyakazi Kenya (COTU-K) umetishia kwenda mahakamani kusukuma kuteuliwa kwa Afisa...

Vijana wamekataa kuwekeza kwa hazina ya uzeeni – Ripoti

Na LEONARD ONYANGO IDADI kubwa ya vijana nchini hawawekezi katika hazina za malipo ya uzeeni, ripoti imefichua. Kulingana na ripoti...

Waliostaafu kuhesabiwa tena kuondoa wale bandia

Na BERNARDINE MUTANU Serikali inatarajiwa kuhesabu watu waliostaafu kutoka huduma ya umma kwa lengo la kuondoa maelfu ya wastaafu bandia...

Kinara wa NSSF taabani kujitaja mmiliki wa shamba la ekari 134

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA meneja mkuu hazina ya malipo ya uzeeni (NSSF) Josphert Konzolo alijipata taabani kwa kudai ndiye mmiliki wa...

Waziri kujibu mashtaka kwa kumwondoa Atwoli NSSF

Na BERNARDINE MUTANU Waziri wa Leba Ukur Yatani ana hadi Jumatano kujibu mashtaka yaliyowasilishwa mahakamani na COTU kuhusiana na hatua...

COTU yapinga uteuzi wa Karangi kusimamia NSSF

Na Wanderi Kamau MUUNGANO wa Kitaifa wa Wafanyakazi (COTU) umepinga uteuzi wa aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Mstaafu Julius Karangi...

Leba Dei ya malumbano kati ya COTU, NHIF na NSSF

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wanaadhimisha siku ya wafanyakazi ulimwenguni Jumanne huku vyama vya wafanyakazi na serikali vikizozana kuhusu...

COTU na FKE zatisha kujiondoa NSSF

Na BERNARDINE MUTANU MUUNGANO wa Vyama vya Wafanyikazi (COTU-K) na lile la waajiri (FKE) limetishia kujiondoa katika Hazina ya Kitaifa...